10/01/2022
Miliki shamba kiwangwa bagamoyo
Mashamba yetu yapo km 15 kutoka barabara kuu
Ardhi ni tambalale na udongo wake ni wenye rutuba unaweza panda mazao k**a
➡️ Mahindi
➡️ Mananasi
➡️Mihogo
➡️Maharage
➡️Ndizi
Mbali na kilimo pia mazingira ni rafiki kwa ufugaji
Bei zetu ni sh.1,200,000 kwa hekari moja unailipia ndan ya miez 12 kila mwezi unailipia sh.100,000 tu na ukitoa pesa cash unapunguziwa 10%.
Wote mnakaribishwa kwa maelezo zaid tupigie kwa no.0787046457 au fika ofisin kwetu Mwananyamala A