16/05/2026
*💥🔥MIRADI YETU ILIYOBAKIA KWASASA*
*SOMA MAELEZO YOTE ILI UWEZE KUJICHAGULIA KIWANJA CHAKO*
*0️⃣1️⃣KISEMVULE OSTERBAY(OBEY V.I.P CITY)*
-Ukubwa ni futi 50/40 sehemu ya kujenga vyumba vinne mpaka vitano,waeza unganisha zaidi ya kiwanja kimoja.
-VIwanja vipo juu na Tambarare kabisaaa.
-Ni ushuani,wananunua washua maana pako juu unajenga jumba utakalo.
-Huduma zote za kijamii zipo zinapatikana,umeme,maji,shule,hospital.
-Bei ni Sh.1,700,000/= tu,unaweza lipia kidogo kidogo,anza na Sh.1,000,000/= nyingine utamalizia ndani ya miezi mitatu.
0️⃣2️⃣KISEMVULE-MJINI
-Viwanja vipo karibu na Barabara kuu ya kilwa road.
-Huduma zote kijamii zinapatikana hapohapo k**a vile maji,umeme,shule,hospital n.k
-Ukubwa ni futi 50/40 unaweza unganisha viwanja zaidi ya kiwanja kimoja.
-BEI NI SH.6,500,000/= Unaweza anza na Sh.4,500,000/=nyingine utamalizia ndani ya miezi mitatu.
0️⃣3️⃣CHANG'OMBE VIANZI.
-Mradi umenyooka sana yani full Tambarare
-Ukubwa ni 50/40 unaweza dabo zaidi ya kiwanja kimoja
-Huduma zote za kijamii zinapatikana k**a vile shule,maji,umeme,hospital n.k
-Umbali toka barabara kuu ni dakika 10
-Bei ni Sh.2,500,000/= unaweza anza na Sh.1,700,000/=nyingine utamalizia ndani ya miezi mitatu.
0️⃣4️⃣VIKINDU VIANZI MALOGORO.
-Viwanja vimenyooka sanaa asei..
-Tambarare la kufa mtu.
-Ukubwa ni futi 50/40 waeza unganisha hata viwanja 10.
-huduma zote za kijamii zinapatikana hapo maji yapo,umeme,shule,hospital n.k
-Bei kitooonga kabisa yaani 750,000/= tuu tajiri.
0️⃣5️⃣MRADI WA VIKINDU VIANZI DUBAI,MAARUFU SHEIKHIL ISLAAM IBN TAYMIYYAH
-Viwanja vina ukubwa wa futi 50/40 waeza unganisha zaidi ya viwili.
-Huduma zote za kijamii zipo hapohapo viwanjani.
-Kutoka barabara kuu ni 2.5kms tu.
-Usafiri upo muda wote.
-Bei ni Sh.3,500,000 tu.
MAWASILIANO.
📞0655689073
📞0755808491
🇹🇿SUPERLAND TANZANIA,UAMINIFU NDIO NGAO YETU.