08/08/2026
Leo tunaadhimisha juhudi, jasho na kazi ngumu ya wakulima wetu ambao ndio uti wa mgongo wa taifa letu.
HamaNasi tunajivunia kuwa mshirika wako wa kuaminika katika usafirishaji na ubebaji wa mazao, vifaa, na mizigo yako kwa usalama na ufanisi mkubwa.
Mapumziko mema ya Sikukuu ya Nane Nane
Weka booking yako mtandaoni leo: Tembelea tovuti yetu sasa
MoveWithHamaNasi