07/10/2022
📍VIWANJA 📍 VIWANJA📍
KIGAMBONI MBUTU BEACH PLOT 2 FOR SALE
Site ipo km 25 kutoka feri hadi site, mita 300 kutoka baharini makazi ya watu, maji, umeme vyote vipo jirani na site. Viwanja vimepimwa na HATI YA WIZARA hutolewa baada ya kumaliza malipo.
👉25 kwa 25.4 lipa 12,660,000
👉27 kwa 27 lipa 14,620,000
👉29 kwa 26.7 lipa 15,500,000
👉30 kwa 27.3 lipa 16,360,000
Kuona site ni kila siku
Call/watsp 0653 809 334