24/12/2024
VIWANJA VINAUZWA VIKINDU NA KISEMVULE MJINI MILIONI 1.5 TU.
0742 909 861
 Viwanja vinapatikana Vikindu na Kisemvule Mjinii, Karibu Sana na MBAGALA RANGI 3.
 Ni Viwanja vizuri na mji uliopangiliwa kisasa kabisa, viwanja ni tambarale, vikiwa vimezungukwa na huduma muhimu k**a Maji,umeme na shule binafsi na shule za Serikali, Hospitali na Usafiri wa bajaji n.k
 Ni KM 3 Kutokea Vikindu Stand ( Usafiri wa Bajaji Mia Saba na Pikipiki Elfu Moja Tu mpaka kwenye mradi wetu ).
 Ukubwa wa Viwanja ni Futi
SQM 300 Milioni 1.5
SQM 600 Million Milioni 3
SQM 1200 Milioni 6
Unauwezo wa kuunganisha viwanja viwili, vinne na kuendelea kulingana na kipato chako.
Utaratibu wa kulipa kwa awam upo, unaweza kuanza na Milioni 1inayobaki utapewa miezi 3.
Usafiri wa kufika Kutoka Vikindu na Kisemvule ni uhakika muda wote, Unapanda gari moja tokea Kariakoo, Temeke, Kivukoni, Kigamboni, Mbagala n.k
NB : Karibu kuona kwani Usafiri ni Bureee!.
Yaani Ushindwe wewe tu kujenga
Wote mnakaribishwa
" Ardhi ni Mali "
Piga 0742 909 861