Mrkiwanja update

Mrkiwanja update KWA MAHITAJI YA NYUMBA,CHUMBA, GODOWN,WAREHOUSE KWAAJIRI YA KUPANGISHA
PIA TUNAUZA VIWANJA,NYUMBA NA

Football🙌🙌😂😂😂You"ll never walk alone
03/12/2023

Football🙌🙌😂😂😂

You"ll never walk alone

ILI KUPATA HATI YA KUMILIKI ARDHI ZINGATIA YAFUATAYO;Kwanza eneo husika liwe limepimwa na kupangiwa matumizi bora ya ard...
25/11/2023

ILI KUPATA HATI YA KUMILIKI ARDHI ZINGATIA YAFUATAYO;

Kwanza eneo husika liwe limepimwa na kupangiwa matumizi bora ya ardhi na ramani ya upimaji iwe imeidhinishwa na Mkurugenzi wa ramani na upimaji

Mmiliki lazima aombe maombi ya kumilikishwa ardhi na ajaze fomu ya maombi na kulipia gharama za maombi kiasi cha Tshs 20,000/= fedha ambazo huwa hazirejeshwi

Baada ya kukidhi vigezo vya kumilikishwa ndipo taratibu za kuandaa nyaraka zinaanza ambapo atatakiwa kujaza fomu,kuambatanisha picha za passport size sita na kufunguliwa jalada

Mara baada ya kufunguliwa jalada,Afisa Mipangomiji ataidhinisha matumizi halisi ya eneo husika.

Lengo la kuomba matumizi ni kuweza kubainisha aina ya kodi itakayolipwa. Mfano k**a matumizi ni kwa ajili ya;
1.Makazi (Residential)

2.Makazi na Biashara (Commercial and Residential)

3.Biashara (Commercial)

4.Kuabudia (Religion)

5.Industry (Viwanda)

6. Mara baada ya kupata matumizi husika Mthamini atatoa makadirio ya malipo ya maandalizi ya hati kulingana na matumizi yaliyopangwa.

7. Barua ya Toleo (Letter of Offer) hujazwa na mteja huandaliwa bili ya malipo.

8. Barua ya Offer hupelekwa kwa Afisa Ardhi mteule na kusainiwa na ndipo taratibu za kuandaa hati huanza mara moja.

9. Mpima Ardhi (Land Surveyor) atachora ramani ndogo (deed plan) ambayo inaonyesha vitu vifuatavyo;

Namba ya kiwanja (Plot Number)
Kitalu (Block)
Eneo (Location)
Namba ya ofisi ya ardhi (Land Office Number)
Vipimo (Measurment)
NB: Namba ya Ofisi ya Ardhi (Land Office Number)

Ni namba inayotolewa na Afisa Ardhi anayoonyesha kuwa hati iliyoandaliwa imeandaliwa Mkoa gani,Wilaya na katika ofisi ipi.

10. Baada ya ramani kukamilika na kusainiwa na Mpima Ardhi,hati huandaliwa na muhusika au mteja hupatiwa kwa ajili ya kusainiwa.

11. Hati huchukuliwa na kupelekwa kwa Kamishna wa Ardhi kwa hatua ya usajili

Nyaraka zitakazopelekwa kwa Kamishna wa Ardhi ni;

Barua ya maombi
Cheti cha kuzaliwa
Barua ya toleo (Letter of offer)
Rasimu ya hati
Barua ya historia. (Covering letter
Hati itakua imekamilika mara baada ya kukamilika kwa hatua zote kikamilifu.

EPUKA MATAPELI, NUNU KIWANJA KILICHOPIMWA NA KURASIMISHWA NA WIZAR

NAWAO WAMETAFUTA MWENYE UPARA🤣🤣🤣
24/11/2023

NAWAO WAMETAFUTA MWENYE UPARA🤣🤣🤣

UPUMBAVU NI NINI?? UPUMBAVU NI KURUDIA KOSA LILE ILE KWA NYAKATI ZILEZILE.KARNE YA 21 UNAWEZAJE KUNUNUA KIWANJA KISICHOP...
24/11/2023

UPUMBAVU NI NINI??

UPUMBAVU NI KURUDIA KOSA LILE ILE KWA NYAKATI ZILEZILE.

KARNE YA 21 UNAWEZAJE KUNUNUA KIWANJA KISICHOPIMWA??

KIWANJA AMBACHO HAKIJARASIMISHWA KISHERIA??

TUPIGIE KWA NAMBARI 0766909738 AU FIKA OFISINI KWETU KILUVYA MADUKANI.

TUNAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA NA KURASIMISHWA NA WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAKAZI.

SQM 1=11500/=

SAWA NA TSH 4,600,000/= KWA KIWANJA CHA UKUBWA WA 20*20 SAWA NA SQUAREMETER 400.

UTAANZA NA MALIPO YA TSH 1,000,000/= NA KIASI KINACHOBAKIA UTARIPIA TARATIBU KWA MIEZI 12 (HAKUNA RIBA)

MALIPO YOTE YANAFANYIKA KWA NJIA YA BANK, HATUPOKEI PESA TASLIM.
BAADA YA KUFANYA MALIPO UTAPATIWA RISIT YA EFD IKIONESHA MALIPO SAHIHI NA PIA UTAJAZA MKATABA WA MANUNUZI WA MWANASHERIA.

N:B
HAKUNA GHARAMA ZA U'DALALI.
VISITING SITE NI KIRA SIKU.
KARIBU TUKUHUDUMIE

HATUA ZA KUFUATA ILI KUKAMILISHA UPIMAJI WA ENEO/KIWANJAEneo kabla halijapimwa inabidi liwepo kwenye mchoro wa mipangomi...
24/11/2023

HATUA ZA KUFUATA ILI KUKAMILISHA UPIMAJI WA ENEO/KIWANJA

Eneo kabla halijapimwa inabidi liwepo kwenye mchoro wa mipangomiji ulioandaliwa na afisa mipangomiji wa manispaa na pia kusajiliwa na ofisi ya mkurugenzi wa mipangomiji na vijiji wizarani. Aidha k**a eneo halipo kwenye mchoro wa mipangomiji inabidi liandaliwe mchoro huo ili kuweza kupangiwa matumizi sahihi ya eneo hilo na kufaham miundo mbinu (eg. barabara) inayozunguka eneo husika

Baada ya eneo kuwepo kwenye mchoro wa mipangomiji, Mteja ataandika barua ya maombi kwa mkurugenz wa Halmashauri kuomba kupimiwa eneo lake. Aidha mteja anaweza akatumia kampuni binafsi/mpima binafsi(private surveyor) kwa ajili ya upimaji wa eneo husika
Mpima Ardhi ataomba kibali cha upimaji kutoka kwa mpima wa mkoa na pia kutoka kwa Afsa Ardhi wa halmashauri

Baada ya upimaji kukamilika Mpima Ardhi ataandaa File lenye kuonesha vibali vya upimaji kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa na Afsa Ardhi wa halmashauri. Pia file hilo litaonesha raman yenye vipimo halisi vya eneo husika pamoja na repoti ya upimaji.

Mpima Ardhi atapeleka file hilo katika ofisi ya mpima wa mkoa kwa ajili ya kukaguliwa na baadae kupelekwa kwa mkurugenzi wa upimaji na raman Dodoma kwa ajili ya kuhakikiwa.

Aidha baada ya uhakiki wa file, Ramani husika ya eneo hilo husajiliwa kwa kupewa namba ya usajili (registered plan number) na pia wizara inatoa namba za viwanja vilivyopo katika ramani hiyo.

Baada ya raman kusajiwa , na viwanja katika raman hiyo kupewa namba (plot numbers), mpima Ardhi atakabidhiwa nakala ya raman hiyo kwa ajili ya kupeleka mkoani (kwa kumbukumbu) na katika halmashauri ili Afsa Ardhi aweze kuendelea na zoezi la uandaaji wa hati miliki wa viwanja hivyo kwa kutumia ramani hiyo yenye kuonesha namba ya usajili, namba za viwanja na ukubwa wa kila kiwanja.

Baada ya maandalizi ya hati kukamilika na kusajiliwa na kamishna wa Ardhi wa Kanda, mteja hukabidhiwa hati yake kwa ajili ya matumizi yake binafsi (eg. Kutumia k**a dhamana katika kuomba mkopo) na pia mteja anapata faida kubwa ya kumiliki kiwanja chake kisheria.
FAIDA ZA UPIMAJI

Mteja kupata hati miliki na hivyo Kumiliki eneo kisheria na kulipia kodi ya Ardhi kwa maendeleo ya nchi

Ba

[11/24, 7:15 PM] Mr_kiwanja_updates: UPIMAJI (Cadastral Surveys):Upimaji ni uwekaji wa kumbukumbu za kiwanja, mahali kil...
24/11/2023

[11/24, 7:15 PM] Mr_kiwanja_updates: UPIMAJI (Cadastral Surveys):

Upimaji ni uwekaji wa kumbukumbu za kiwanja, mahali kilipo na ukubwa wake. Kumbukumbu hizi zinahifadhiwa ,kimchoro kwenye ramani (survey plan), kimahesabu (Co-ordinates) na kuweka alama za mipaka (beacons) kwenye kiwanja husika na kuidhinishwa,kusajiliwa na Wizara ya Ardhi nyumba na makazi.

KAZI ZA MPIMAJI (Surveyor):

•Kazi za mpima ardhi zinajumuisha; kuweka mipaka ya viwanja vipya.

•Kurudishia mipaka ya viwanja ambavyo vimeshapimwa na mipaka yake(beacions) zimepotea

•Kuchora ramani za Kiwanja/Viwanja.
[11/24, 7:15 PM] Mr_kiwanja_updates:

Faida za upimaji ni k**a ifuatavyo:-

•Kuondoa tatizo la migogoro ya mipaka kwa kusuluhishwa kisheria.

•Kupata mikopo mbalimbali kwa kutumia raslimali ya ardhi iliyopimwa.

•Urasimishaji.

•Utambulisho wa mahali kiwanja kilipo.

•Kuongezeka dhamani ya kiwanja.

ELIMU NA USHAURI WA BURE KWA WATEJA WOTE WA VIWANJA.SOMA HADI MWISHO BILA UVIVU UTANISHUKULU._Tunauza viwanja, viwanja v...
16/11/2023

ELIMU NA USHAURI WA BURE KWA WATEJA WOTE WA VIWANJA.
SOMA HADI MWISHO BILA UVIVU UTANISHUKULU.

_Tunauza viwanja, viwanja vimesajiliwa na wizara ya ardhi.hatuna mambo mengi kiufupi tumenyooka.
Viwanja vipo kiluvya madukani Kwa ma'sister ni kilometer 6 tu kutoka barabara ya morogoro road.

_Bei ya kiwanja kimoja ni tsh 4,600,000/= tu Kwa kiwanja Cha makazi na TSH 6,000,000/= Kwa viwanja vya biashara.ukubwa wa viwanja ni kuanzia squaremeter 400 na kuendelea.
Unaanza na malipo ya tsh 1,000,000/= tu na kiasi kinachobakia unalipia taratibu Kwa miezi(12). Hakuna riba.
Malipo yote yanafanyika bank,hatupokei pesa taslim u.
_@mr_kiwanja_updates natoa ushauri Kwa wateja wetu wote kwamba msikubali kununua viwanja kiholela vinavyouzwa Kwa futi na mambo mengine mengi.

_Ukienda site yeyote ukakuta wamepanda matofali yakujengea,vinguzo vifupi vya zege au vipande vya miti fahamu kabisa unapigwa.

_site ukifika unapaswa kuoneshwa viwanja vyenye beacons zenye namba na barabara za pembeni standard iwe sio chini ya mita kumi za ndani na Mita sita mpaka name Kwa barabara za mtaa.

_k**a ukiona haujaoneshwa amendment site plan ujue umepigwa.
Usinunue kiwanja kwenye sketch map. Narudia Tena usinunue kiwanja kwenye sketch map.

_Usikubali kulipa pesa MKONONI au Kwa tigopesa, m-pesa n.k
Lipa kupitia Bank account ya kampuni sio majina ya mtu binafsi.NMEELEWEKA

_Nunua kiwanja kilichopimwa Kwa mita,kimepitia utaratibu wa mipango miji na kuchongwa barabara za mitaa.

_MILIKI KIWANJA NASI,Karibu ofisini kwetu kiluvya madukani au mbezi Kwa msuguri Kisha utapelekwa site unayoitaka kuona na utachagua kiwanja ukipendacho.

_kisha utarudi ofisini Kwa ajili ya kupewa acount namba yenye jina la kampuni Ili kufanya malipo ya kiwanja chako

_UKILIPIA DAI RISIT YA EFD
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nami;
_ 0766909738
_Email: [email protected]
Instagram:mr_kiwanja_updates

KARIBU TUKUHUDUMIE
15/11/2023

KARIBU TUKUHUDUMIE

🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂NYIEEE
05/11/2023

🙌😂😂😂😂😂😂😂😂😂NYIEEE

Usilete mazoea, "THIS IS BUSSNESS,HATA K**A TUNAJUANA AISEE PESA KWANZA" VIWANJA VYA MKOPO BILA RIBA BADO VIPOVINAPATIKA...
31/10/2023

Usilete mazoea, "THIS IS BUSSNESS,HATA K**A TUNAJUANA AISEE PESA KWANZA"

VIWANJA VYA MKOPO BILA RIBA BADO VIPO
VINAPATIKANA;
*KILUVYA MADUKANI
*KILUVYA MWANAKONDOO
*KILUVYA MAKURUNGE
*KILUVYA KWA MA'SISTER/WATAWA
*BOKO MLEMERA/KIBAHA

BEI NI TSH 9500/= KWA SQUAREMETER MOJA.
VIWANJA VINAANZIA TSH 3,800,000/= UNAANZA NA MALIPO YA AWALI YA MILIONI MOJA KIASI KINACHOBAKIA UNALIPIA TARATIBU KWA MWAKA MZIMA BIRA RIBA.KARIBUNI SANA.

KWA MAWASILIANO TUPIGIE
0766909738 AU FIKA OFISINI KWETU KILUVYA MADUKANI.

AHSANTE

"THE STREET WILL NEVER FORGET HIM" Afootball JADU🙌😂😂😂😂
31/10/2023

"THE STREET WILL NEVER FORGET HIM"
Afootball JADU🙌😂😂😂😂

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mrkiwanja update posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mrkiwanja update:

Share

Category