ZIPO Estate Agency

ZIPO Estate Agency WAUZAJI WA VIWANJA NA MASHAMBA. MALIPO YA CASH NA YALE YA AWAMU. Dar, Bagamoyo, mkuranga, kibaha.

NEW PROJECT ON THE WAY!!!!!SEPTEMBER TO REMEMBER............
01/09/2024

NEW PROJECT ON THE WAY!!!!!

SEPTEMBER TO REMEMBER............

MRADI: KISAYANI NEW VILLAGEUpo Vianzi - KisayaniKilomita 43 kutoka posta,Kilomita 13 kutoka VikinduUmeme upo, njia zinap...
23/09/2023

MRADI: KISAYANI NEW VILLAGE
Upo Vianzi - Kisayani
Kilomita 43 kutoka posta,
Kilomita 13 kutoka Vikindu
Umeme upo, njia zinapitika bila shida.

UKUBWA: Ukubwa wa maeneo ni futi 50 / 50 kwa gharama ya sh.600,000/= tuu.

KWENDA SITE: Siku yeyote Ila itapendeza ikiwa Jumamosi au jumapili. Unachokiona kwenye video ndio muonekano halisi wa mradi.

MAWASILINO : 0782 222643
ZIPO Estate Agency

22/09/2023

KISAYANI NEW VILLAGE

VIWANJA SH. 600,000/= TUU
0782 0782 222 643

VIWANJA CHEKA - KIGAMBONIMRADI : CHEKA KIGAMBONI✓Mradi upo upande wa kulia ukitokea feri✓mita 700 kutoka barabara kuu ya...
21/01/2023

VIWANJA CHEKA - KIGAMBONI

MRADI : CHEKA KIGAMBONI

✓Mradi upo upande wa kulia ukitokea feri

✓mita 700 kutoka barabara kuu ya lami ( Cheka msikitini).
✓ Mradi upo karibu na shule ya Darul Arqam

✓ Mradi unaanzia viwanja vyenye ukubwa wa sqm 500 yaan 20 kwa 25.

✓ Bei ya Sqm 1 ni sh.15,000/= kwa malipo ya Cash.

✓ Bei ya Sqm 1 ni sh. 17,000/= kwa malipo ya awamu, anza na 50%, malipo miezi 6.

✓ Twende site siku yoyote ile Ila toa taarifa mapema.

MAWASILIANO: 0782 222 643
unaweza kupiga simu, ujumbe mfupi, WhatsApp pia.

Karibu

KEREGE BAGAMOYOVIWANJA VIMEPIMWA VIPO KEREGE BAGAMOYO ( KWA KIWETE) UPANDE WA KUSHOTO UKITOKEA BUNJU KABLA HAUJAFIKA KAM...
25/10/2022

KEREGE BAGAMOYO

VIWANJA VIMEPIMWA VIPO KEREGE BAGAMOYO ( KWA KIWETE) UPANDE WA KUSHOTO UKITOKEA BUNJU KABLA HAUJAFIKA KAMAL INDUSTRIES.

MITA 800 KUTOKA BARABARA KUU YA BAGAMOYO.

HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO KARIBU IKIWEMO MAJI NA UMEME, MAJIRANI PIA WAPO.

SQM 1 NI SH. 17,000/= KWA MALIPO YA AWAMU AMBAPO MTEJA ATALIPA 50% KISHA INAYOBAKIA ATALIPA NDANI YA MIEZI 3.

TWENDE SITE SITE YOYOTE TUWASILIANE MAPEMA KABLA SIKU YA SAFARI.

0782 222 643

11/08/2022

VIWANJA VIMEPIMWA DEGE KIGAMBONI HATI SIKU 90 BAADA YA MALIPO.

VIWANJA VIPO DEGE
( DEGE Mchikichini upande wa kushoto ukiwa unatokea Gezaulole yaan upande wa bahari)

VIWANJA VIPO MITA 400 TUU KUTOKA BARABARA KUU, UKIAMUA UNATEMBEA.

SQM 1 NI SH.19,000/= MALIPO MIEZI 6 ( MAZUNGUMZO YAPO)
UKUBWA WA VIWANJA VINAAZIA SQM 500 SAWA NA 20 KWA 25.

TWENDE UKAONE MRADI HUU KILA JUMAMOSI SAFARI ZINAANZIA KIGAMBONI.

MAWASILIANO: 0782 222 643

GUSA LINK KWA BIO ITAKULETA WHATSAPP PIA.

MRADI MPYA. BAGAMOYO KINGANI BEACH PLOT. 👉🏾 Hii ni Beach Plot namba 1.👉🏾Eneo ni zuri sana kwa makazi na uwekezaji mdogo ...
16/07/2022

MRADI MPYA.
BAGAMOYO KINGANI BEACH PLOT.

👉🏾 Hii ni Beach Plot namba 1.

👉🏾Eneo ni zuri sana kwa makazi na uwekezaji mdogo au mkubwa.

👉🏾Huduma za kijamii zote zipo k**a vile maji,umeme, shule zinapatikana kwa ukaribu na mradi.

👉🏾Mradi upo karibu na Pengo(wanapolelewa makadinali).

👉🏾Bei ni 40,000 kwa square meter moja.

👉🏾Malipo mteja wetu anaweza kulipa Cash au kwa awamu (instalments).

👉🏾Baada ya malipo mteja atapata hati miliki yake (wizara).

GUSA LINK HAPO kwenye Bio uje WhatsApp tuzungumze
KUONA MIRADI YETU NI KILA SIKU.
0782222643.

VIWANJA VILIVYOPIMWADEGE - KIGAMBONI-Mradi upo 1km kutoka barabara ya lami. -Huduma za kijamii k**a maji,umeme,shule zin...
25/06/2022

VIWANJA VILIVYOPIMWA
DEGE - KIGAMBONI

-Mradi upo 1km kutoka barabara ya lami.

-Huduma za kijamii k**a maji,umeme,shule zinapatikana.

-Viwanja vimepimwa na barabara zinapitika muda wote.

-Bei ni Sh.19,000/= kwa square meter moja au mita moja ya mraba.

- VIWANJA: Vinaanzia SQM 700 na kuendelea.

- MALIPO: Unaweza anza na malipo ya awali 50% Kisha nyingine kuilipa kidogo kidogo kwa miezi 6. Mazungumzo kina yapo!!!

- HATI: Hati timiliki mteja wetu atapewa siku 90 Baada ya malipo.

- KUONA MIRADI YETU: kuona ni kila siku wewe tuu upange muda wako vizuri.

WASILIANA NASI: 0782 222 643
Link hapo kwa Bio itakuleta WhatsApp.

VIWANJA VILIVYOPIMWA MAPINGA - BAGAMOYO•Umbali ni 300m kutoka barabara ya lami Bagamoyo road. Mandhari ni nzuri mnoooo.....
20/06/2022

VIWANJA VILIVYOPIMWA MAPINGA - BAGAMOYO

•Umbali ni 300m kutoka barabara ya lami Bagamoyo road. Mandhari ni nzuri mnoooo.........................................................
•Huduma za kijamii k**a maji,umeme,shule zinapatikana kwa karibu sana, majirani wa kutosha wapo!........................................................
•Viwanja vimepimwa na barabara za mtaa zimechongwa.........................................................
•Bei Sh.30,000/= kwa square meter. Malipo miezi 6 anza na 50% ( mazungumzo yapo)
Ukubwa wa viwanja vinaanzia SQM 400.........................................................
•Kuona mradi safari ni kila siku.........................................................
•Hati ni siku 90 baada ya malipo husika.........................................................
0782 222 643.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZIPO Estate Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ZIPO Estate Agency:

Share

Category