Uhai wangu Tv

Uhai wangu Tv “Maneno niliyowaambia ni roho na uzima.” – Yohana 6:63

25/03/2026
25/03/2026

K**a Yakobo alivyopambana hadi akabadilika kuwa Israeli, ndivyo mafanikio yanavyohitaji mapambano ya kweli. Lakini siri kubwa ni hii...sio kupambana siku moja tu, bali mwendelezo wa kila siku.
Maendeleo hayaji kwa nguvu ya muda mfupi, bali kwa nidhamu ya kufanya kile unachopaswa kufanya kila siku bila kukata tamaa. Pambana, shikilia ndoto yako, na usiache—kwa sababu ushindi ni wa wale wanaodumu Kwa Mwendelezo.

24/03/2026

Umuhimu wa kuandaa kizazi thabiti hata kabla mtoto hajazaliwa ni MHIMU sana. Tukijifunza kupitia mfano wa Samsoni kutoka Biblia, tunaona jinsi malezi yake, na alivyo chagua mwenyewe kutoka nje ya mktadha wa malezi.
Lakini pia maisha ya wazazi yanavyoathiri hatima ya mtoto tangu akiwa tumboni. Ni wito kwa wazazi kujenga msingi wa kiroho na maadili mapema.

08/03/2026

Ubarkiwe sana Unapo tazama na kufatilia Uhai wangu Tv

25/02/2026
25/02/2026

Kuna aina za ujasiri ambazo hutakiwi kuzikosa katika MAISHA yako Ili kiweza kufikia ndoto yako.

Tazama somo hili YouTube
Kupitia

Kuna wakati nilikuwa karibu kupoteza maisha yangu…Lakini Mungu akanipa nafasi ya pili.Leo nimesimama k**a ushuhuda hai.N...
24/02/2026

Kuna wakati nilikuwa karibu kupoteza maisha yangu…
Lakini Mungu akanipa nafasi ya pili.
Leo nimesimama k**a ushuhuda hai.
Na kupitia ukurasa huu, nitakuwa nikishiriki:
✅ Ushuhuda halisi
✅ Neno la faraja na tumaini
✅ Mafundisho ya kuimarisha imani
✅ Maisha halisi yasiyofichwa
K**a unapitia “maji mengi” katika maisha yako — usikate tamaa.
Mungu bado anaokoa. Neema bado ipo. 🙏
👉 Follow ukurasa huu
👉 Share na mtu mmoja anayehitaji kutiwa moyo
👉 Andika “AMEN” k**a unaamini Mungu hubadilisha maisha
🔥 UHAI WANGU TV — Maisha Yako, Ushuhuda Wako.

“Tunakuakaribisha Uhai Wangu TV, chanzo cha mafundisho ya uzima, maombi yenye nguvu na ushuhuda wa mabadiliko katika Kri...
23/02/2026

“Tunakuakaribisha Uhai Wangu TV, chanzo cha mafundisho ya uzima, maombi yenye nguvu na ushuhuda wa mabadiliko katika Kristo. Usikose kubarikiwa!”

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uhai wangu Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category