Ngata Homes Africa Limited

Ngata Homes Africa Limited NGATA HOMES AFRICA LTD, we make standard & affordable housing possible in Africa.

From end-to-end with our well linked housing ecosystem players, we simplify your home ownership journey if you are looking for a home to rent, buy or build within Tanzania

21/12/2022

Kupitia mfumo wa Kidijitali wa NGATA HOMES, mmiliki wa NYUMBA na MAJENGO ya kupangisha kwaajili ya MAKAZI au BIASHARA utakupa ufanisi katika usimamizi wa Biashara yako ya kupangisha lakini pia utakuwezesha kupata wapangaji sahihi kwa haraka na kwa wakati wa majengo yako ya kupangisha na faida zingine nyingi zaidi.

kwa kupitia simu yako tu ya mkononi au kifaa chochote chenye uwezo wa intaneti unaendesha biashara yako ya kupangisha kwa ufanisi zaidi na kupata taarifa zilizochakatwa za majengo yako, wapangaji na kampuni yako kwa kila ngazi.

Tembelea sasa: www.homes.ngata.co.tz
wasiliana nasi kwa simu No: 0759 333 777
whattsap No: 0686 333 777

For residential properties and office space for rent anywhere in Tanzania with high Quality and affordable price visit n...
14/12/2022

For residential properties and office space for rent anywhere in Tanzania with high Quality and affordable price visit now www.homes.ngata.co.tz
1. make appointment
2. visit property
3. move in
also through Ngata Homes system as a property owner you can do management through DMP (Digital management properties) system.
visit now:
www.homes.ngata.co.tz

23/11/2022

With ngata homes Africa Limited its easy to find rental properties anywhere in Tanzania based on your preference and budget.

Also with Ngata Homes Digital Properties Management System (DPM) as a landlord we increase efficiency and effectivenes of managing your properties.

you only need your smartphone or any other interenet device.

contacts us now,
0715 334 777
0759 333 777
Makumbisho, Derm plaza 14th floor.

visit:: www.homes.ngata.co.tz

27/08/2022

k**a Dalali unatakiwa uwe mwaminifu katika kazi yako na shughuli unazofanya.

Kupitia mfumo wa Ngata Homes tunakuwezesha Dalali kufanya kazi zako zote kwa urahisi zaidi hasa kupata wateja wa nyumba za kupanga kutoka sehemu mbalimbali Tanzania

Kujiunga tembelea:
www.homes.ngata.co.tz

Tupo tayari kuhesabiwa na kushiriki kikamilifu kwenye mchakato mzima wa sensa Tanzania 2022. Sensa kwa maendeleo.Kwa mah...
22/08/2022

Tupo tayari kuhesabiwa na kushiriki kikamilifu kwenye mchakato mzima wa sensa Tanzania 2022. Sensa kwa maendeleo.

Kwa mahitaji ya nyumba na vyumba vya kupanga Tembelea
www.homes.ngata.co.tz

Sasa wewe k**a Dalali huna haja ya kupata tabu kutafuta wateja wa nyumba ya kupanga wala kuzifikia nyumba za kupanga zil...
18/08/2022

Sasa wewe k**a Dalali huna haja ya kupata tabu kutafuta wateja wa nyumba ya kupanga wala kuzifikia nyumba za kupanga zilizo maeneo mbalimbali Tanzania kwani kupitia mfumo wa Ngata wateja wataweza kufanya appointment na kupanga kutoka sehemu mbalimbali Tanzania, na hayo yote ni kupitia simu yako t ya mkononi.

Tembelea www.homes.ngata.co.tz na ujiunge, usajili nyumba na uanze kupokea appointment leo.

Ndio, Nyumba kiganjani, kwa mahitaji ya nyumba au vyumba vya kupanga mahali popote Tanzania tembelea www.homes.ngata.co....
17/08/2022

Ndio, Nyumba kiganjani, kwa mahitaji ya nyumba au vyumba vya kupanga mahali popote Tanzania tembelea www.homes.ngata.co.tz
weka appointment, tembelea nyumba, amia..!!!

kwa maelezo zaidi piga simu namba:
0628 333 777

16/08/2022

panga kidigitali sasa Kupitia Simu yako ya mkononi au kifaa chochote chenye uwezo wa intaneti. Ikiwa unatafuta nyumba au chumba cha kupanga sehemu yoyote Tanzania unachohitaji ni simuyako tu ya mkononi.
chakufanya Tembelea : www.homes.ngata.co.tz

Kwa maelezo zaidi piga simu namba:
0628 333 777

Tunakutakia ijumaa njema na yenye Baraka.Kwa mahitaji ya nyumba na vyumba vya kupangaTembelea:www.homes.ngata.co.tz
12/08/2022

Tunakutakia ijumaa njema na yenye Baraka.

Kwa mahitaji ya nyumba na vyumba vya kupanga
Tembelea:
www.homes.ngata.co.tz

Unatafuta nyumba au chumba cha kupanga?Basi usipate tabu unachotakiwa kufanya ni kutembelea:www.homes.ngata.co.tzchagua ...
11/08/2022

Unatafuta nyumba au chumba cha kupanga?
Basi usipate tabu unachotakiwa kufanya ni kutembelea:
www.homes.ngata.co.tz
chagua nyumba, weka appointment, hamia.

kwa msaada zaidipiga simu namba:
0628 333 777

Tunakutakia madhimisho mema ya sikukuu ya nane nane mwaka 2022.kwa mahitaji ya nyumba na vyumba vya kupangatembeleawww.h...
08/08/2022

Tunakutakia madhimisho mema ya sikukuu ya nane nane mwaka 2022.

kwa mahitaji ya nyumba na vyumba vya kupanga
tembelea
www.homes.ngata.co.tz

Address

Makumbusho, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngata Homes Africa Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ngata Homes Africa Limited:

Share

Category