hansen_bre_lameck

hansen_bre_lameck Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from hansen_bre_lameck, Real Estate Company, Tabata barakuda, Dar es Salaam.

11/12/2022

Viwanja vimebaki 14 tu katika wote wenye viwanja 35.
Sifa za mradi huu unajieleza kwenye video yetu ya tangazo husika hapo juu.
Ratiba zetu za kwenda site ni kuanzia jumatatu hadi jumamosi

Wateja wa mwanzoni watakao kuja kumalizia viwanja vyetu vilivyobaki tutawapa ofa ya punguzo la laki 2 kila kiwanja atakachonunua

Kwa maelezo zaidi tupigie simu namba hii 0752776677
Mdada wetu wa ofisin atakupa maelekezo au piga namba ya surveyor wetu simu no. 0752776677

Kiwanja kinauzwa na kina hati miliki.Mahali kilipo÷Dar es salaamKigamboni kimbijiSifa za eneo la kiwanja kilipo÷Umbali t...
08/11/2022

Kiwanja kinauzwa na kina hati miliki.
Mahali kilipo÷
Dar es salaam
Kigamboni kimbiji
Sifa za eneo la kiwanja kilipo÷
Umbali tokea baharini 4km
Kipo karibu na kiwanda cha cements cha nyati
Kipo karibu na barabara kuu ya tanroad umbali mita 500 tu.
Huduma zipo k**a vile
Shule
Maji
Hospital n.k

Bei ya kiwanja 1sqm=15000

Kwa sqm 698=10470000tsh.

Ila natoa offa kwa mtu wa kwanza kukiitaji kwa offa ya bei ya kila sqm1=tsh 12000 ambayo kwa sqm 698= milion 8 lak3 na 76.

Kwa maelezo zaidi mpigie surveyor÷
Simu namba 0713644699
Au whats app namba 0713644699

Cooking officialy logo
22/07/2022

Cooking officialy logo

16/07/2022

Viwanja bado vipo

Viwanja vimepimwa vinauzwa  kwa bei ya tzs 5000 tu kwa kila mita 1 za mraba (sqm 1). Viwanja vipo kigamboni kimbiji gola...
24/05/2022

Viwanja vimepimwa vinauzwa kwa bei ya tzs 5000 tu kwa kila mita 1 za mraba (sqm 1). Viwanja vipo kigamboni kimbiji golani,karibu kabisa na kiwanda cha cement ya nyati. Umbali toka barabara kuu ya tanroad ni 1km,umbali kutokea baharini ni 5km tu .
Kwa maelezo zaidi tupigie kwenye namba/whats app kwenye namba hizi 0713644699

Address

Tabata Barakuda
Dar Es Salaam
P.O.BOX

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when hansen_bre_lameck posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to hansen_bre_lameck:

Share