vilivyopimwadsm

vilivyopimwadsm Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from vilivyopimwadsm, Real Estate Company, Mwanga Tower 6th Floor Left Wing New Bagamoyo Road Kijitonyama Dar es Salaam TZ,, Dar es Salaam.

28/11/2022

JE UNAPITIA CHANGAMOTO YA MIFUPA ???

-maumivu makali kwenye magoti
-magoti kushindwa kujikunja
-kusikia milio ya magoti kusagana
-kushindwa kuinama
-kusikia ganzi kwenye miguu
-mifupa kusagana
-maumivu kwenye maungio (joints)
-kiuno kuuma
-mgongo kuuma
-pingili za vidole kuvimba (gout)

SABABU KUU INAYO SABABISHA CHANGAMOTO HIZI NI K**A !

-Ajali
-Uzito ulipindukia
-kutumika kwa viungo kupitia kiasi mfano wanamichezo
-Historia ya familia
-Umri (30+)

JE UMEHANGAIKA KWA MUDA MREFU BILA SULUHU YA UHAKIKA ?

JE ULIFANYIWA UPASUAJI NA KUWEKEWA VYUMA ILA BADO MAUMIVU NI MAKALI SANA NA MIFUPA BADO INASAGANA ?

HUNA HAJA YA KUHANGAIKA TENA TUNAYO SULUHU YA VIRUTUBISHO AMBAVYO VITAONDOA KABISA CHANGAMOTO YAKO YA MUDA MREFU YA MIFUPA NA HAITOJIRUDIA TENA :

Wasiliana nasi kupitia

062 661 5802

13/06/2022
Kwa VIWANJA vyetu VYA cashโ€ฆ.(buyuni 2,3,4 na buyuni 6)๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅCall/WhatsApp:0762-015154
13/06/2022

Kwa VIWANJA vyetu VYA cashโ€ฆ.(buyuni 2,3,4 na buyuni 6)
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Call/WhatsApp:
0762-015154

Karibu Ofisini Kwetumakumbushomwanga towerFloor ya 60762-015154
08/06/2022

Karibu Ofisini Kwetu
makumbusho
mwanga tower
Floor ya 6
0762-015154

08/06/2022

Swipe left ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰

KIGAMBONI-PUNA PLOTS ZIPO NNE(4) TU

Km 37 kutoka ferry

Malipo miezi 6

Anza na 30%

Mradi upo mita 300 kutoka beach

Mita 150 kutoka barabara kuu Sqm 1@17,000/= anza na 30%

Malipo miezi 6

WhatsApp 0762-015154

  @NALA - DODOMA. โœ”๏ธ Km 10 kutoka Dodoma mjini. โœ”๏ธ Mita 800 kutoka Barabara kuu. โœ”๏ธ sqm1@6,500Tsh cash. โœ”๏ธ Sqm1@8,000Tsh...
08/06/2022

@
NALA - DODOMA.

โœ”๏ธ Km 10 kutoka Dodoma mjini.
โœ”๏ธ Mita 800 kutoka Barabara kuu.
โœ”๏ธ sqm1@6,500Tsh cash.
โœ”๏ธ Sqm1@8,000Tsh installments.
โœ”๏ธ Anza na 20%.
โœ”๏ธ Malipo ndani ya miezi 6.
โœ”๏ธ Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 340, sqm 600 na kuendelea.

๐Ÿ“Œ Call/Whatsapp: 0762015154 ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

๐Œ๐€๐Œ๐๐Ž ๐Ÿ“ ๐˜๐€ ๐Œ๐”๐‡๐ˆ๐Œ๐” ๐Š๐€๐๐‹๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐๐”๐๐”๐€ ๐Š๐ˆ๐–๐€๐๐‰๐€๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ“ŒEneo hilo linatambulika na ๐–๐ˆ๐™๐€๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐€๐‘๐ƒ๐‡๐ˆ?? ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐”๐๐ˆ๐Œ๐–๐€(๐’๐”๐‘๐•๐„๐˜๐„๐„...
07/06/2022

๐Œ๐€๐Œ๐๐Ž ๐Ÿ“ ๐˜๐€ ๐Œ๐”๐‡๐ˆ๐Œ๐” ๐Š๐€๐๐‹๐€ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐๐”๐๐”๐€ ๐Š๐ˆ๐–๐€๐๐‰๐€๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ“ŒEneo hilo linatambulika na ๐–๐ˆ๐™๐€๐‘๐€ ๐˜๐€ ๐€๐‘๐ƒ๐‡๐ˆ?? ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐”๐๐ˆ๐Œ๐–๐€(๐’๐”๐‘๐•๐„๐˜๐„๐„๐ƒ)

๐Ÿ“ŒMatumizi yaliyopangwa yanaenda na malengo yako??(makazi au biashara)
๐Ÿ“ŒEneo linafikika kiurahisi??(miundo mbinu)
๐Ÿ“ŒHUduma muhimu zipo site??au karibu na site?
๐Ÿ“Œ๐”๐–๐„ ๐๐€ ๐”๐‡๐€๐Š๐ˆ๐Š๐€ ๐–๐€ ๐Š๐”๐๐€๐“๐€ ๐‡๐€๐“๐ˆ ๐Œ๐ˆ๐‹๐ˆ๐Š๐ˆ na sio HATI YA MAUZIANO!

Karibuni sana Ofisini Kwetu
mwanga Tower
Floor Ya 6
โ€ฆโ€ฆโ€ฆ

KWA KIANZIO CHA 195,000/= unamiliki KIWANJA KIGAMBONI-dar es salaam๐•๐ˆ๐–๐€๐๐‰๐€ ๐•๐˜๐€ ๐Œ๐€๐Š๐€๐™๐ˆ/๐๐ˆ๐€๐’๐‡๐€๐‘๐€ buyuni kigamboni (๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ฎ๐ง๐š...
07/06/2022

KWA KIANZIO CHA 195,000/= unamiliki KIWANJA KIGAMBONI-dar es salaam

๐•๐ˆ๐–๐€๐๐‰๐€ ๐•๐˜๐€ ๐Œ๐€๐Š๐€๐™๐ˆ/๐๐ˆ๐€๐’๐‡๐€๐‘๐€ buyuni kigamboni (๐ฆ๐ฃ๐ข ๐ฎ๐ง๐š๐ฉ๐จ๐ค๐ฎ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐š๐ฌ๐ข๐ฒ๐š ๐Ÿ’๐†๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
โšชKm 47 kutoka ferry (daladala zipo za kutosha)
โšชKm 3 kutoka barabara kuu
โšชKm 3.5 kutoka beach ๐Ÿ’ฆ๐ŸŒด๐ŸŒด

๐Ÿ‘‰๐€๐๐™๐€ ๐๐€ ๐Ÿ๐Ÿ—๐Ÿ“,๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ/=
๐Ÿ“ŒKila mwezi lipa ๐Ÿ๐Ÿ—๐Ÿ“,๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ/=
Bei nzima ya KIWANJA NI ๐Ÿ‘,๐Ÿ—๐ŸŽ๐ŸŽ,๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ/=(๐’๐๐Œ ๐Ÿ’๐ŸŽ๐ŸŽ)
Malipo ndani ya miezi 20 bila Riba๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‰๐‹๐ˆ๐๐€ ๐ฆ๐š๐ฅ๐ข๐ฉ๐จ ๐“๐š๐ฌ๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐ž ๐๐”๐๐†๐”๐™๐Ž ๐‹๐€ ๐๐„๐ˆ ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

WhatsApp 0762-015154

   __๐‡๐€๐“๐ˆ ๐Œ๐ˆ๐‹๐ˆ๐Š๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐ˆ๐–๐€๐๐‰๐€ Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ๐‘๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ya upim...
06/06/2022


__

๐‡๐€๐“๐ˆ ๐Œ๐ˆ๐‹๐ˆ๐Š๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐ˆ๐–๐€๐๐‰๐€
Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ๐‘๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ya upimaji ya eneo husika, ๐”๐Š๐”๐๐–๐€ wa eneo, mipaka ya eneo husika(beacons au mawe) pamoja na ramani za upimaji za majirani.

๐…๐€๐ˆ๐ƒ๐€ ๐™๐€ ๐Š๐”๐€ ๐๐€ ๐‡๐€๐“๐ˆ๐Œ๐ˆ๐‹๐ˆ๐Š๐ˆ

๐”๐“๐€๐Œ๐๐”๐™๐ˆ wa kisheria kuwa yeye ni mmiliki halali wa kipande hiko cha ๐€๐‘๐ƒ๐‡๐ˆ.

1)๐‡๐€๐“๐ˆ ๐Œ๐ˆ๐‹๐ˆ๐Š๐ˆ yako Inaweza kutumika k**a dhamana katika uombaji wa mikopo benki na taasisi za kifedha. (Hivyo inaweza kukuinua kiuchumi)

2)Kupunguza /Kuondoa ๐Œ๐ˆ๐†๐Ž๐†๐Ž๐‘๐Ž na majirani zako na pia usumbufu pindi unapotaka kuiuza ardhi hiyo.
Hivyo ๐๐€๐๐†๐€, ๐๐ˆ๐Œ๐€ ardhi yako na umiliki ๐Š๐ˆ๐’๐‡๐„๐‘๐ˆ๐€ kwa usalama na maendeleo ya baadae.

3)Kuongeza ๐“๐‡๐€๐Œ๐€๐๐ˆ ya ardhi.ukipanga, ukipima na ukamiliki kisheria ardhi yako inapanda thamani kwa kuwa umiliki wako unatambulika ๐Š๐ˆ๐’๐‡๐„๐‘๐ˆ๐€.

4)Kuongeza ๐”๐’๐€๐‹๐€๐Œ๐€ katika ๐€๐‘๐ƒ๐‡๐ˆ yako, hivyo kuzuia mtu yeyote kujimilikisha au kufanya shuguli yeyote katika ardhi yako bila ridhaa yako.

๐Š๐€๐‘๐ˆ๐๐”๐๐ˆ ๐’๐€๐๐€ ๐’๐”๐‘๐•๐„๐˜๐„๐ƒ ๐๐‹๐Ž๐“๐’ ๐‚๐Ž ๐‹๐“๐ƒ
Ofisi zipo MWANGA TOWER

Hello Monday.....Ni wiki mpya ya wiki la kwanza la mwezi wa sitaUnapaswa kujiuliza tangu mwaka umeanza ni uwekezaji gani...
05/06/2022

Hello Monday.....
Ni wiki mpya ya wiki la kwanza la mwezi wa sita
Unapaswa kujiuliza tangu mwaka umeanza ni uwekezaji gani ulioweza kuufanya Hadi Sasa.
Na k**a hujafanikiwa kufanya uwekeza wowote basi karibu uwekeze kwenye Kiwanja (asset)

Utalipia kidogokidogo tu kwa kianzio Cha 150,000/= na utaweza kumiliki Kiwanja chako chenye ukubwa wa sqm 400(20*20)

Hujachelewa, wekeza sasa na

Call/WhatsApp 0762015154

Address

Mwanga Tower 6th Floor Left Wing New Bagamoyo Road Kijitonyama Dar Es Salaam TZ,
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when vilivyopimwadsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share