ViwanjaFasta

ViwanjaFasta Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ViwanjaFasta, Real Estate Company, Gezaulole, Kigamboni, Dar es Salaam.

We have Got A New Project at Kimbiji POTEAWhich is Equivalent to 1sqm @ 12,500/= Cash PaymentUnaweza pia kulipa Kwa Inst...
18/03/2026

We have Got A New Project at Kimbiji POTEA

Which is Equivalent to 1sqm @ 12,500/=

Cash Payment

Unaweza pia kulipa Kwa Installments

18/03/2026

Kiwanja Sio tu Ardhi bali ni Mwanzo mpya wa Maisha unayotaka kujenga

Ijumaa njema! 🙌Chukua hatua leo – wekeza kwenye kiwanja chako na ujenge kesho bora. 🏡
13/03/2026

Ijumaa njema! 🙌

Chukua hatua leo – wekeza kwenye kiwanja chako na ujenge kesho bora. 🏡

KIMBIJI POTEANew Project 🔷Km 30 kutoka kigamboni Ferry 🔷Km 3 kutoka Main road 🔷Huduma zote za Kijamii zinapatikanaGet re...
10/03/2026

KIMBIJI POTEA

New Project
🔷Km 30 kutoka kigamboni Ferry
🔷Km 3 kutoka Main road
🔷Huduma zote za Kijamii zinapatikana

Get ready for the Price

Wale Wazee wa Viwanja vya Bei Rahisi & Installments get ready for New Project 😃
09/03/2026

Wale Wazee wa Viwanja vya Bei Rahisi & Installments get ready for New Project 😃

Happy Sunday 🙏Nawatakia wateja wangu wote Jumapili njema iliyojaa amani, furaha na baraka tele.Mungu awatangulie katika ...
08/03/2026

Happy Sunday 🙏

Nawatakia wateja wangu wote Jumapili njema iliyojaa amani, furaha na baraka tele.

Mungu awatangulie katika kila mnachofanya na awajalie afya, mafanikio na neema katika maisha yenu.

Asanteni kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari yetu.

Mbarikiwe sana.

Kwa nini watu wengi wanadanganywa na viwanja feki?Watu wengi hawadanganywi kwa sababu hawana akili.Wanadanganywa kwa sab...
03/03/2026

Kwa nini watu wengi wanadanganywa na viwanja feki?

Watu wengi hawadanganywi kwa sababu hawana akili.
Wanadanganywa kwa sababu:

• Wanaharakisha kufanya maamuzi
• Wanavutiwa na bei ya kushangaza
• Hawafanyi uhakiki wa nyaraka

Ardhi sio biashara ya kubahatisha.
Ni maamuzi yanayoweza kuathiri maisha yako kwa miaka mingi.

Kabla hujalipa hata advance, jiulize:
👉 Nimehakiki umiliki?
👉 Nimeona nyaraka halali?
👉 Nimefanya due diligence?

K**a huna uhakika, bora kuuliza kwanza kuliko kujuta baadaye.

📩 Andika “UHakiki” tukuelekeze hatua salama.

📍 Viwanja Fasta — Nunua kwa uhakika, sio kwa bahati.

Usisubiri kesho kufanya maamuzi ya leo! 🏡Wekeza kwenye viwanja leo, linda kesho ya familia yako.Miradi ya uhakika, fursa...
02/03/2026

Usisubiri kesho kufanya maamuzi ya leo! 🏡

Wekeza kwenye viwanja leo, linda kesho ya familia yako.
Miradi ya uhakika, fursa za kweli.

Address

Gezaulole, Kigamboni
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ViwanjaFasta posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ViwanjaFasta:

Shortcuts

Share