Blc _ home

Blc _ home We help you design your dream home
Sell your property
Get your dream home
Renovation
Feel at home with us
�+255742892195
Reg:C6/1012/10/2011

**Modern Two Bedroom Apartments**Muonekano wa kisasa, mpangilio bora na nafasi iliyotengenezwa kwa ajili ya maisha yenye...
31/07/2026

**Modern Two Bedroom Apartments**
Muonekano wa kisasa, mpangilio bora na nafasi iliyotengenezwa kwa ajili ya maisha yenye starehe na thamani ya kudumu.

🏢 **Apartment Features:**
✔️ 2 Units – Ground Floor
✔️ 2 Units – First Floor
✔️ Modern architectural design
✔️ Smart space planning

Tunabuni na kujenga **nyumba na majengo ya kisasa** kulingana na mahitaji yako — kutoka wazo hadi jengo lililokamilika. 🏗️

📐 **Free Consultation Available**
Anza kupanga nyumba yako ya ndoto leo.

📞 0742892195
📲 Call / WhatsApp

24/06/2026

*Kiwanja chenye view nzuri Bahari ya Hindi kinauzwa Bunju Beach*

📍Bunju Beach

❇️Neighbors: Magorofa na nyumba za kisasa

✅Eneo ndani lina nyumba inayotumika k**a ofisi, Mabwawa pamoja na mabanda yenye vyumba v5.

✅Eneo linafaa kwa ujenzi wa Apartment au Hotel ambapo ukijenga Ghorofa moja unaona view ya Bahari.

✅Plot size Sqms 1,706

✅Document: Title Deed (Subdivision)

*Bei shilingi milioni 500 maongezi yapo*

0742892195 call whatsapp

01/06/2026

*UNATAKA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO AU PROJECT YA KISASA?*

Watu wengi wanaanza ujenzi kwa haraka…
lakini mwisho wanajikuta:

❌ Wametumia pesa nyingi kuliko walivyopanga
❌ Wamepata mafundi wasiokuwa waaminifu
❌ Nyumba imejengwa bila ubora
❌ Muonekano hauendani na thamani ya fedha zao

Sisi tunakuja tofauti.

Tunajenga kwa:
✅ Ubora wa kisasa
✅ Muonekano wa kuvutia
✅ Mpangilio wa kitaalamu
✅ Uaminifu wa kazi
✅ Ushauri wa kitaalamu kabla ya kuanza ujenzi

Nyumba nzuri sio kuta na bati pekee…
Ni comfort, hadhi, na future ya familia yako. 🏡✨

Ukihitaji:
✔️ Ramani za kisasa
✔️ Ujenzi wa nyumba
✔️ Ushauri wa ujenzi
✔️ Renovation
✔️ Usimamizi wa project

Wasiliana nasi leo tuanze safari ya nyumba yako ya ndoto. 0742892195 cal whatsapp

01/06/2026

✨ GHOROFA YAKO INAANZA K**A NDOTO, SISI TUNAKUSAIDIA KUIGEUZA KUWA HALISI.

Kuanzia michoro, makadirio ya gharama, ushauri wa vifaa hadi usimamizi wa mradi, tupo pamoja nawe katika kila hatua ya ujenzi.

Usifanye maamuzi ya gharama kwa kubahatisha. Pata ushauri wa kitaalamu leo.

📞 Call/WhatsApp: 0742892195

📩 Tuma ujumbe sasa kwa makadirio ya gharama za nyumba yako ya ghorofa.

ModernHouse ConstructionExperts DreamHome TanzaniaRealEstate BuildWithConfidence

31/05/2026
31/05/2026

*Modern 3 bedrooms house*

3bedrooms house

One master bedroom

2self contained rooms

Sitting room

Dinning

Kitchen store

Public toilet

We build and design your dream home

Contact +2557428921

Or visit our website. www.blchomes.co.tz

Youtube :blchomes

Instagram blchomes_

Facebook blc_homes

blchomes

29/05/2026

*Kosa kubwa kwenye ujenzi sio kuanza bila pesa nyingi*…

Ni kuanza bila kujua gharama halisi za ujenzi.

Watu wengi huambiwa:
“Nyumba hii inajengwa kwa milioni kadhaa tu…”

Lakini ukweli ni kwamba gharama za ujenzi hutegemea:

📌 Ukubwa wa nyumba
📌 Ubora wa materials
📌 Aina ya finishing
📌 Eneo la ujenzi
📌 Muundo wa ramani

Ndiyo maana nyumba mbili zinazofanana kwa picha zinaweza kuwa na gharama tofauti kabisa.

✅ Kabla hujaanza kujenga, pata makadirio sahihi kwanza.
Hii itakusaidia:

✔️ Kuepuka kusimama katikati ya ujenzi
✔️ Kupanga budget vizuri
✔️ Kujenga kwa hatua bila stress
✔️ Kuepuka matumizi yasiyo ya lazima

Tunatoa ushauri na makadirio ya gharama kulingana na budget yako na aina ya nyumba unayotaka. 🏠✨

📲 WhatsApp / Call: 0742892195

RamaniZaNyumba NyumbaNzuri ModernHouseTZ Mjengo BuildingMaterialsTZ InteriorDesignTZ HouseDesign UjenziBora ArchitectTZ HomeConstruction TanzaniaBusiness Nyumba Kujenga CivilEngineeringTZ MakadirioYaUjenzi

29/05/2026

KWANINI UCHORE RAMANI BAADA YA KUANZA UJENZI? 🏠

Hili ni kosa kubwa ambalo watu wengi hufanya kwenye ujenzi.

Utakuta mtu ameanza kujenga bila ramani, halafu akifika hatua fulani ndipo anaona umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba.

Kuwa na ramani kabla ya kuanza ujenzi ni muhimu sana. Ramani hukusaidia kuona muonekano wa nyumba yako mapema na kufanya marekebisho kabla hujaanza kujenga — bila kutumia gharama kubwa.

Lakini ukianza kujenga bila ramani, halafu baadaye ukaamua kuchora ramani au kufanya mabadiliko, marekebisho hayo yatakugharimu pesa nyingi sana. 💸

Unaweza kuingia kwenye gharama ambazo si za lazima kabisa.

FAIDA ZA KUWA NA RAMANI KABLA YA UJENZI:

✅ Kujua muonekano wa nyumba mapema
✅ Kupanga bajeti vizuri
✅ Kuepuka makosa ya ujenzi
✅ Kurahisisha kupata kibali cha ujenzi
✅ Kuokoa muda na gharama za marekebisho
✅ Kujenga kwa mpangilio na usahihi
✅ Kuongeza thamani ya nyumba yako

Kabla hujaanza ujenzi, hakikisha unakuwa na ramani sahihi ya nyumba yako. Itakusaidia sana.

BLCHOMES tunatoa huduma za:

🏠 Kuchora ramani za nyumba na majengo
🏗️ Ushauri wa ujenzi
📄 Kufuatilia kibali cha ujenzi
🔨 Kujenga nyumba hadi kukamilika

📞 0742892195
Call / WhatsApp

HousePlan UjenziWaKisasa BuildingDesign ConstructionTZ NyumbaYaNdoto DarEsSalaam Tanzania

26/05/2026

*Nyumba nzuri haijengwi kwa bahati… inajengwa kwa maandalizi ya gharama sahihi*

Watu wengi huanza ujenzi kwa kuangalia picha nzuri za nyumba mtandaoni…
Lakini hawajiulizi:

❌ Gharama ya msingi ni kiasi gani?
❌ Bei ya materials imekaaje?
❌ Finishing itagharimu kiasi gani?
❌ Fundi na usimamizi je?

Matokeo yake…
Wengine huishia kusimama katikati ya ujenzi 😔 na kukata tamaa

✅ Siri ya kujenga vizuri sio kuwa na pesa nyingi pekee…

Ni kujua namna ya kupanga gharama zako kwa usahihi kabla hujaanza.

Sisi tunakusaidia:
✔️ Makadirio sahihi ya gharama za ujemzi wa jengo lako
✔️ Ushauri wa materials zinazofaa budget yako

✔️ Ramani na muonekano wa kisasa wa nyumba na majengo

✔️ Ujenzi wenye ubora na imara

Karibu kwa huduma zote hizi

📞 Tupigie / WhatsApp: 0742892195

Jenga kwa akili… sio kwa mazoea.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Blc _ home posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Blc _ home:

Shortcuts

Share

Category