21/03/2022
Furahia maisha kwa kuwekeza sehemu Bora na salama.
🏵️Karibu SURVEYED PLOTS COMPANY LTD(SPC) kwa huduma za uhakika.
🏵️Bei zetu ni Nafuu na ruksa kulipa kidogokidogo. Viwanja vimepimwa na HATI utapatiwa ya wizara.
🏵️Miradi yetu mingi ipo karibu na Bahari(BEACH PLOTS zipo za kutosha!!)💃Changamkia fursa!!🏊🤽🚣🏂🏖️⛱️
Tuna OFFER Mbalimbali;
1. Anza na 180,000Tsh tuu umiliki kiwanja BUYUNI Kigamboni. Malipo ndani ya miezi 20. Eneo lipo km 1 tuu kutoka baharini na lingine lipo km 3(CHAMBEWA) kutoka baharini. Sqm1@8,000Tsh cash, sqm1@9,000Tsh installments. Eneo lipo km 47 kutoka Ferry.
2. Kimbiji center ; km 28 kutoka Ferry
Sqm1@16,000Tsh
Vinauzwa cash tu. Eneo lipo mita 50 tuu kutoka barabara kuu ya Ferry.
3. Kimbiji kwa Moris. Km 38 kutoka Ferry. ( mbele ya kambi ya jeshi ya kimbiji)
Sqm 1@14,000Tsh cash
Sqm 1@16,000Tsh installment ( unaanza 15%) miezi 12. Mita 500 kutoka baharini. Mita 200 kutoka barabara kuu ya Ferry.
4. Kimbiji kwa Moris 2
Sqm 1@22,000Tsh ( vya Biasharaa) ila 20,000Tsh kwa cash
Vya Makazi Sqm 1 = 17,000Tsh installment (15% kianzio, nyingine ndani miezi 12). Cash sqm 1@ 16,000Tsh. Mita 800 kutoka baharini. Eneo lipo Zero(0) distance kutoka Barabara kuu ya Ferry.
5. CHEKA kigamboni
Sqm 1@ 23,000Tsh installment ( Anza na 30%). Malipo ndani ya miezi 6.
Sqm 1@20,000Tsh cash. Mita 400 kutoka baharini. Km 20 tuu kutoka Ferry
6. BUYUNI 7 BEACH PLOTS. sqm1@16,000Tsh Malipo ni cash only. Eneo lipo Mita 180 tuu kutoka baharini. Ni Km 55 kutoka Ferry.
7.MAPINGA(Bagamoyo road)
Eneo lipo km 1.8 kutoka baharini na ni km 4 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo. Sqm1@14,000Tsh cash,sqm1@15,000Tsh installments,Anza na 20% malipo ndani ya miezi 6.
Call/whatsp 0657424467