Manka realestates

Manka realestates Real estate agent by Profession
Connect Buyers and sellers
Properties in Dar es salaam

Lipa shilingi 329,000 kila mwezi kwa miezi kumi na nane ujipatie kiwanja chako chenye ukubwa wa square mita 1000
13/09/2023

Lipa shilingi 329,000 kila mwezi kwa miezi kumi na nane ujipatie kiwanja chako chenye ukubwa wa square mita 1000

31/08/2023

Kazi iendelee

27/08/2023

Kibada project ni mradi unaokuletea viwanja vilivyopimwa vya makazi tayari ambapo watu wanaishi. Huduma za kijamii zinapatikana.

Sifa za mradi huu.
Upo karibu na mji. Umbali wa Kibada kigamboni jadi ferry ni kilomita 11.6 tu. Kilomita kumi kutoka ferry hadi kibada na 1.6 kutoka kibada center hadi site.
Huduma za kijamii zinapatikana. Huduma k**a za maji, umeme, huduma za afya.
Pia kuna mzunguko mkubwa wa watu. Biashara na fursa mbali mbali zote zipo k**a maduka ya vyakula, nguo, ujenzi, n.k

Kibada ni sehemu ambayo ilishafanyiwa survey na serikali hivyo ina block tofauti.
Ni sehemu ya medium density population.

Hivyo unaweza lipa malipo ya awamu ya kidogo kidogo kwa miezi 18 na kujipatia kiwanja chako sasa

Kibada project ni mradi unaokuletea viwanja vilivyopimwa vya makazi tayari ambapo watu wanaishi. Huduma za kijamii zinap...
27/08/2023

Kibada project ni mradi unaokuletea viwanja vilivyopimwa vya makazi tayari ambapo watu wanaishi. Huduma za kijamii zinapatikana.

Sifa za mradi huu.
Upo karibu na mji. Umbali wa Kibada kigamboni jadi ferry ni kilomita 11.6 tu. Kilomita kumi kutoka ferry hadi kibada na 1.6 kutoka kibada center hadi site.
Huduma za kijamii zinapatikana. Huduma k**a za maji, umeme, huduma za afya.
Pia kuna mzunguko mkubwa wa watu. Biashara na fursa mbali mbali zote zipo k**a maduka ya vyakula, nguo, ujenzi, n.k

Kibada ni sehemu ambayo ilishafanyiwa survey na serikali hivyo ina block tofauti.
Ni sehemu ya medium density population.

Hivyo unaweza lipa malipo ya awamu ya kidogo kidogo kwa miezi 18 na kujipatia kiwanja chako sasa

05/08/2023

Hii ndio Kibada Tanzanite 🔥🔥

Unaweza lipia Kwa cash au kwa installement. Kwa wale wasioweza lipa kwa cash kuna mfumo bora wa ulipaji ambapo unalipia ...
04/08/2023

Unaweza lipia Kwa cash au kwa installement.

Kwa wale wasioweza lipa kwa cash kuna mfumo bora wa ulipaji ambapo unalipia kodogo kidogo kwa muda wa miezi 18.

Ambapo unaanza na asilimia 20 tu kisha unalipia kidogo kidogo kila mwezi hadi utakapo malizia malipo yako.

Faida ya kulipia kidogo kidogo (kwa installment).

Ni kuwezesha wateja wetu ambao wanapata changamoto kulipia hela yote kwa pamoja.

Na ukishamaliza malipo yako hati yako inafuatiliwa na kukabidhiwa ndani ya mwezi mmoja na unaweza kuanza ujenzi wako.

Ukifika nusu ya malipo unaweza kuanza kuzungusha msingi katika eneo lako.

Kwa maswali zaidi wasiliana nasi kupitia
0766480394

Siku za kutembelea site ni siku za jumamosi na jumapili

Karibuni sana kwani kutembelea site ni bure

VIWANJA VYA MAKAZI KIBADA MTAA WA MWELA (TANZANITE PROJECT) 💥UMBALI: 12.6KM kutoka Ferry10.4KM Kutoka Darajani KibadaUMB...
02/08/2023

VIWANJA VYA MAKAZI KIBADA MTAA WA MWELA (TANZANITE PROJECT) 💥

UMBALI:
12.6KM kutoka Ferry
10.4KM Kutoka Darajani Kibada

UMBALI NI DAKIKA 45 TU KUTOKA FERRY HADI SITE

SIFA ZA MRADI
✅Barabara zimechongwa tayari
✅ Usafiri upo unapatikana na ni wa bei nafuu na unapatikana muda wowote.
✅ Makazi yapo 💯 watu wameshajenga
✅ Maji yapo, umeme upo huduma zote zipo.

MFUMO WA MALIPO:

✅Cash ni 40,000/= kwa sqm
✅Installment yaani malipo ya kidogo kidogo miezi 18 ni 45,000/= kwa sqm ambapo unatanguliza asilimia 20% downpayment

Wasiliana nami kupitia 0766480394
Whats app no. 0766480394

Update map ya ramani ya viwanja vya makazi Kibada. Unaweza lipia viwanja vyako na kujenga makazi hapo hapo.Karibuni sana...
01/08/2023

Update map ya ramani ya viwanja vya makazi Kibada.

Unaweza lipia viwanja vyako na kujenga makazi hapo hapo.

Karibuni sana siku za kutembelea site zetu ni Weekends au siku ya jumatano na ijumaa

Kwa mawasiliano wasiliana nami kupitita

Whats app no. ‎​0766 480 394

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manka realestates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Manka realestates:

Share

Category