Biashara Dar es salaam

Biashara Dar es salaam Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Biashara Dar es salaam, Real Estate, Tegeta Nyuki, Dar es Salaam.

06/09/2019
NYUMBA INAUZWA [ BEI YA MASHIKO ] --------------------------------------------------------------------------------------...
02/09/2019

NYUMBA INAUZWA [ BEI YA MASHIKO ]
--------------------------------------------------------------------------------------------------
Nyumba zipo tatu, yaani za familia tatu tofauti
Eneo la CHANIKA- BUYUNI- KIGEZI, ni Plot No 192, Block 14, CHANIKA - BUYUNI, ILALA DISTRICT.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Inaukubwa wa Square Metre 1405. Imezungushiwa ukuta, na ukuta wa mbele una ventilation structures ( matoleo ya hewa ). Ndani ya eneo hili kuna nyumba tatu zilizo katika mitindo tofauti.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Nyumba mbili za pembeni vyumba vyake vyote ni self contain, ya katikati ina vyumba vitatu sio self contain. Kila nyumba ina sitting room, zinatofautiana ukubwa, kuna iliyo kubwa na ina public toilet, kuna nyingine mbili zenye ukubwa tofauti.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Nyumba kubwa ina nafasi kubwa zaidi kwa vyumba na bath tab ya kisasa. Maji na umeme wa TANESCO vyote vipo. Taa za ukutani kwenye ukuta wa fence na kila verandah zipo.Majiko mawili ya kisasa , miti ya matunda mbalimbali k**a machungwa,mapera,maembe, mastafeli, mapapai na mananasi mengi sana.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Gardern ya majani maua na miti ya kivuli ipo. Hii site ipo umbali wa kilometa tatu na nusu toka kwenye barabara kuu inayotoka Pugu kuelekea Chanika. Ni eneo tulivu kwa jinsi lilivyopimwa na majirani waliopo.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
PRICE Milion 270 TZS:

WASILIANA NASI SASA.
Whatsapp: +255 756 279 351 | Office : +255 620 409 617
Phone : +255 699 764 783 .

Address

Tegeta Nyuki
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Biashara Dar es salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category