01/12/2023
*SHAMBA EKARI 8 LINAUZWA BINAFSI VISIGA MADAFU - MKOA WA PWANI*
*Distance* Kilometer 1 tu kutoka barabara kuu ya morogoro
Ndani ya shamba kuna maji safi ya Dawasa,Nyumba ya wafanya kazi, miti ya miembe, minazi ya kutosha pia kwasasa shamba linalimwa njugu mawe na mahindi
*DOCUMENT* Sales agreement (mkataba wa mauziano ya selikali za mitaa)
Shamba limepimwa (Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
lipo mtaa mzuri sana ulio jengeka,
barabara safi inayopitika vyema na magari ya aina zote
*Bei shilingi milioni 120 maongezi kidogo yapo*
*NOTE* gharama za Kupelekwa site ni elfu 30
Wasiliana nasi +255782159898