Viwanja Agency

Viwanja Agency Wauzaji wa Viwanja vilivyo pimwa. kwa mfumo wa kulipa kidogo kidogo kiasi cha shilingi 6000 Tu kila siku.

08/06/2024

UKIKOSA NA HII NDIO BASS TENA, LIPA BILA STRESS..
Wahi viwanja Bagamoyo Makurunge kwa malipo ya awamu

1. Viwanja vimepimwa
2. Viwanja ni tambarare
3. Viwanja havijai maji
4. Viwanja vipo karibu na msata road
5. Gari moja kutoka bunju
6. Viwanja vina Guarantee ya miaka 100

BEI: 4500 per SQM
: 1,800,000 (20x20)

Lipa kidogo kidogo
Kwa Siku: 6000
Kwa wiki: 42000
Kwa Mwezi: 168000

Call/whatsapp 0688949409

09/05/2024

Jipatie shamba kwa shilingi milioni 3 Tu heka nzima.
TAARIFA.
1. Mashamba yapo 1km kutoka lami
2. Mashamba yanafaa kwa ufugaji na kilimo
3. Mashamba yapo Bagamoyo
4. Unaweza kulipa kwa awamu

Call/whatsapp 0688949409

23/06/2023

VIMEWADIA🔥🔥 VIWANJA BEI RAHISI BAGAMOYO KIFUDE.🔥🔥

- Viwanja vipo Bagamoyo Kifude (Njiapanda ya Saadani)
- Viwanja vipo 1km Tu, kutoka Lami.
- Viwanja vimezingatia mipango miji.
- Viwanja havijai maji kabisa.
- Viwanja ni tambarare

Ukubwa ni Mita 20 kwa 20
Bei ni 1,000,000 Tu (kwa malipo ya awamu)
Bei ni 900,000 Tu (kwa malipo ya CASH)

Utapata hati ya Serikali ya mtaa pamoja na ya Kampuni.

Call/Whatsapp: 0688 949 409 / 0763 949 409

12/03/2023

JE UNAUHITAJI WA SHAMBA.?
Basi leo tumekuletea mashamba mazuri waakiji ya kilimo, ufugaji au Makazi.

Jipatie Mashamba katika wilaya ya Bagamoyo kwa bei nafuu kabisa. Heka moja utaipata kwa tsh 3,000,000 Tu. Ambayo utalipia kwanza nusu yaani 1,500,000 na kiasi kinachobaki utalipa taratibu kwa muda wa miezi 3.

Ardhi ni mali isioshuka thamani wahi leo shamba lako kwa manufaa ya baadae

Wasiliana nasi leo
Call/Whatsapp 0688949409

07/01/2023

KWA Tsh 6,000 Tu, PATA KIWANJA KILICHO PIMWA BAGAMOYO MAKURUNGE.( Mkwajuni & Kifude)

SIFA ZA VIWANJA
Viwanja vimepimwa
Viwanja vipo karibu na barabara
Viwanja ni tambarare
Viwanja havijai maji
Huduma za kijamii zipo karibu

BEI: 1,800,000 TU
Lipa 250,000 kisha kiasi kinachobaki utalipa taratiibu taratibu eidha,

Tsh 6000 kila siku au
Tsh 42,000 kila wiki au
Tsh 168,000 kila mwezi

Call/Whatsapp 0688949409
Wahi viwanja ni vichachee

22/12/2022

Tumeshavunja vikoba na vibubu' sasa ni muda wa kuwekeza.

Jipatie kiwanja VIKINDU na MWANDEGE kwa kulipa kidogo kidogo

VIKINDU HONDA
1. Vipo 3km kutoka vikindu stend
3. Usafiri upo mpaka site
3. Huduma zote zipo karibu
4. Kumesha jengeka, watu wanaishi
5. Viwanja havina shida yoyote

BEI: 1,000,000 mpaka 1,500,000
Lipa nusu na nusu inayobaki utamalizia ndani ya miezi 3

MWANDEGE ULONGONI
1. Ukubwa kuanzia futi 40x50
2. Usafiri masaa 24
3. Kumeshajengeka
4. Huduma zote zipo

BEI: 1,500,000 mpaka 2,000,000
Call/Whatsapp 0688949409

12/10/2022

Kwa Tsh 6000 TU kila siku, unajipatia kiwanja kilichopimwa BAGAMOYO MAKURUNGE.🤩

SIFA ZA VIWANJA
1. Vipo 11km kutoka roundabout ya Bagamoyo
2. Mita 200 kutoka barabara ya lami.
3. Huduma zote za kijamii zipo karibu
4. Umeme na maji yamefika mpaka site
5. Usafiri mpaka site ni 24hrs
6. Viwanja vimepimwa.
7. Unaweza lipa kidogo kidogo
8. Ukubwa kuanzia Sqm 25 kwa 17 na kuendelea
9. Viwanja havina udalali.

Bei: SQM 1 shilingi 3,750 Tu
Tanguliza 10% ya bei ya kiwanja, kisha uanze kulipia
✅Tsh 6,000 tu kila SIKU.
✅Au Tsh 42,000 kila WIKI.
✅Au 168,000 kila MWEZI.

Wahi mapema viwanja vimebaki vichache
Tupigie 0688949409 au gusa Link👇
https://wa.me/message/LAXODOXY7C7OC1

01/10/2022

WAHI KIWANJA BAGAMOYO MAKURUNGE KWA KULIPA KIDOGO KIDOGO KIASI CHA TSH 6000 TU KILA SIKU...

SIFA ZA KIWANJA.
1. Vipo 11km kutoka roundabout ya Bagamoyo
2. Mita 200 kutoka barabara ya lami.
3. Huduma zote za kijamii zipo karibu
4. Umeme na maji yamefika mpaka site
5. Usafiri mpaka site ni 24hrs
6. Viwanja vimepimwa.
7. Unaweza lipa kidogo kidogo
8. Ukubwa kuanzia Sqm 25 kwa 17 na kuendelea
9. Viwanja havina udalali.

Bei: SQM 1 shilingi 3,750 Tu

Tanguliza 10% ya bei ya kiwanja, kisha uanze kulipia
✅Tsh 6,000 tu kila SIKU.
✅Au Tsh 42,000 kila WIKI.
✅Au 168,000 kila MWEZI.

Wahi mapema viwanja vimebaki vichache
Tupigie 0688949409 au gusa Link👇
https://wa.me/message/LAXODOXY7C7OC1

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Viwanja Agency:

Share

Category