05/09/2023
TUNAUZA NA KUKOPESHA VIWANJA KWA BEI POA NA ULIPE KIDOGO KIDOGO HAD UNAMALIZA
_________________________________________
0656 753257/ 0688 689282 whtasp
__________________________________________
Viwanja vipo mbande mipeko ukitaka kufika mbande panda gari k/koo .temeke tandika posta buza na uli 700/=hadi mbande magengeni stendi shuka bodaboda buku bajaji jero hadi saiti
________________________________
Ukubwa viwanja na bei zake ni
Futi 40 kwa 50 = laki 8
Futi 40 kwa 50 = milioni 1
Futi 40 kwa 50 =milioni 1.2
Futi 40 kwa 50 =milioni 1.5
Futi 40 kwa 50 =milioni 1.7
Futi 40 kwa 50 =milioni 2
Futi 40 kwa 50 =milioni 2.5
Unaweza kuunganisha zaidi ya viwili
_______________________________________
Utafautini umbali wa kutoka mbande magengeni kufika sait ila vipimo sawa saiti zakwanza kutoka mbande kuna km 3 hadi 4
_________________
Uduma zote zajami zipo kwa mfano
Maji
Shule
Umeme
Zahanati
Balabala
Unaweza kulipa kwa hawamu biashara zote zinafanyika serikali ya mtaa hati zipo