17/01/2023
Weekend site na wateja wetu
Kigamboni dege 2
📌Sqm 1 cash @ 16000 only
📌Sqm 1 mkopo @ 18000 miezi 3
Mradi umepimwa na mawe ya wizara
Huduma zote za kijamii zinapatikana katika maeneo yetu .
-Shule
-Umeme
-Hospital
-Maji
Kwa maelezo zaidi wasilina nasi Sasa.