16/05/2025
NYUMBA INAUZWA
Nyumba ya kisasa yenye ukubwa wa 800 sqm, ipo kwenye mtaa tulivu, Bagamoyo Mjini, mji unaokua kwa kasi.
✅ Ina vyumba 8 vya kulala, vilivyokamilika kwa ubora wa juu.
✅ Servant quarter yenye chumba kikubwa cha 20 kwa 24 ft, kinachofaa kuwa ukumbi wa mikutano.
✅ Imetengenezwa kwa viwango bora - fully tiled na sliding windows.
✅ Inafaa kwa makazi ya kifahari au biashara ya lodge.
💰 BEI: Milioni 200 tu!
Usikose fursa hii! Piga simu sasa kwa
0754711029
MAMG REAL ESTATE
TUPO KWA AJILI YAKO