Thedy_Fursa.viwanja

Thedy_Fursa.viwanja Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Thedy_Fursa.viwanja, Real Estate, 2nd Floor, 4th Office Right, Mwanamboka Plaza, 31B Kawawa RD, KINONDONI, Dar es Salaam.

Jumatatu njema! Wiki mpya ni nafasi mpya ya kukua na kufanikiwa. Twende kazi✌️Miliki ardhi, Ishi ndoto zako💯
11/11/2024

Jumatatu njema! Wiki mpya ni nafasi mpya ya kukua na kufanikiwa.
Twende kazi✌️

Miliki ardhi, Ishi ndoto zako💯

wapendwa wateja wetu! Tunapokaribisha mwezi Novemba, tunawatakia amani, furaha, na mafanikio katika malengo yenu ya kumi...
01/11/2024

wapendwa wateja wetu! Tunapokaribisha mwezi Novemba, tunawatakia amani, furaha, na mafanikio katika malengo yenu ya kumiliki ardhi. Tunaendelea kuthamini sana uaminifu wenu na tupo tayari kuhakikisha mnapata viwanja bora na huduma za kipekee. Mwezi huu uwe wa mafanikio na fursa mpya kwa kila mmoja wenu.
Asanteni kwa kutuchagua k**a washirika wenu wa safari ya kumiliki ardhi. Karibuni sana, na uwe na mwezi wenye baraka tele 🙏❤️

🙏❤️
24/10/2024

🙏❤️

FCS tunawatakia waislamu na watanzania wote sikukuu njema ya Eid. Tuendeleze yote mema na mazuri tuliyokua tunayaishi kw...
10/04/2024

FCS tunawatakia waislamu na watanzania wote sikukuu njema ya Eid. Tuendeleze yote mema na mazuri tuliyokua tunayaishi kwenye mwezi wa Ramadhani ili Mwenyezi Mungu aendelee kutufungulia milango la riziki na baraka.

Eid Mubarak🙏🏻

Umeshanunua kiwanja??Karibu Fursa Credit Services Limited ujipatie kiwanja cha ndoto yako.Bei zetu ni nafuu, na unaweza ...
09/04/2024

Umeshanunua kiwanja??

Karibu Fursa Credit Services Limited ujipatie kiwanja cha ndoto yako.

Bei zetu ni nafuu, na unaweza kulipa kidogo kidogo.

MIRADI YETU IPO WILAYA YA KIGAMBONI PEKEE.
✅KIBADA
✅MWASONGA
✅CHEKA
✅KIMBIJI
✅BUYUNI

SIKU ZA KUTEMBELEA SITE NI;
☑️JUMATANO
☑️JUMAMOSI
☑️JUMAPILI
☑️SIKU ZA SIKUKUU ZA KITAIFA

MAWASILIANO:
📞0789295710
📞0673435830

📍Tunapatikana Delta house Kinondoni biafra.

Karibuni sana, tunawapenda🙏🏻❤️




Team yetu ya mauzo ipo mtaani kwako ewe ndugu mfanya biashara kukuletea elimu ya uwekezaji kwenye ardhi.Tupo tayari kuwa...
04/04/2024

Team yetu ya mauzo ipo mtaani kwako ewe ndugu mfanya biashara kukuletea elimu ya uwekezaji kwenye ardhi.

Tupo tayari kuwafikia watanzania na kuwapa fursa za kumiliki viwanja vyao vya makazi kwa malipo ya kila mwezi kwa muda wa miezi 18

Fursa Services Limited tumekurahisishia ndoto yako ya kumiliki kiwanja💯
Miliki ardhi, Ishi ndoto zako

MAWASILIANO:
0789295710
0673435830






Happy Easter World❤️🙏🏻Miliki ardhi, Ishi ndoto zako.Karibuni Fursa Credit Services kwa viwanja vya uhakika na usalama wa...
03/04/2024

Happy Easter World❤️🙏🏻

Miliki ardhi, Ishi ndoto zako.

Karibuni Fursa Credit Services kwa viwanja vya uhakika na usalama wa pesa yako📌

Kwa kupigwa kwake sisi tumepona🙏🏻
29/03/2024

Kwa kupigwa kwake sisi tumepona🙏🏻

FCS team tunawafikia wafanyabiashara wote wakubwa na wadogo kuwapa elimu, maarifa na uhakika wa kuwekeza kwenye ardhi.Ki...
14/03/2024

FCS team tunawafikia wafanyabiashara wote wakubwa na wadogo kuwapa elimu, maarifa na uhakika wa kuwekeza kwenye ardhi.

Kila mtanzania ana haki na nafasi ya kumiliki kiwanja chake kulingana na kipato chake.

Kwa kulitambua hilo, Fursa Credit Services Limited tunawaletea miradi mingi kwa bei tofauti ili kuhakikisha kuwa wateja wetu na watanzania wote hawapati vikwazo kwenye kumiliki viwanja vya ndoto zao.

MIRADI YETU
✅CHEKA
✅KIBADA
✅MWASONGA
✅KIMBIJI
✅BUYUNI, PEMBAMNAZI

Karibu kutembelea site siku za;
☑️JUMATANO
☑️JUMAMOSI
☑️JUMAPILI
☑️SIKU ZA SIKUKUU ZA KIDINI NA KISERIKALI.

MAWASILIANO:
0789295710
0673435830

OFISI ZETU ZIPO KINONDONI BIAFRA, DELTA HOUSE FLOOR NO.6

Miliki ardhi, Ishi ndoto zako📌

FCS tunawatakia heri na mfungo mwema waislamu wote duniani.Tufunge kwa imani, tumshukuru Mungu, dua zetu zifike kwa Mung...
12/03/2024

FCS tunawatakia heri na mfungo mwema waislamu wote duniani.
Tufunge kwa imani, tumshukuru Mungu, dua zetu zifike kwa Mungu na tupokee majibu sawa sawa na mahitaji yetu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

Miliki ardhi, Ishi ndoto zako📌

Mradi wa moto kabisa🔥🔥🔥🔥🔥BUYUNI, PEMBAMNAZI📌Nikwambie kitu?Huku watu wanabeba plot za kutosaha, ikiwezekana unabeba bloc...
11/03/2024

Mradi wa moto kabisa🔥🔥🔥🔥🔥
BUYUNI, PEMBAMNAZI📌
Nikwambie kitu?
Huku watu wanabeba plot za kutosaha, ikiwezekana unabeba block nzima unatulia zako📌

SIFA ZA MRADI
✅UPO ENEO TAMBARARE
✅UPO KARIBU NA BAHARI
✅HUDUMA ZA KIJAMII ZIPO KARIBU
✅ARDHI NZURI SANA
✅PANAFIKIKA KIRAHISI SANA

UMBALI:
2km kutoka Buyuni center
200meters kutoka mainroad

BEI:
Cash 9,000 @ SQM1
Installment 12,000 @ SQM1

Ukubwa wa kiwanja kinaanzia SQM400 hadi 1,000

Pilau linanukiaaa😋😋😋😋Hii ni zawadi yetu kwenu watanzania, tunawaletea mradi mzuri ambao utakua jibu kwa wote wenye maswa...
19/02/2024

Pilau linanukiaaa😋😋😋😋
Hii ni zawadi yetu kwenu watanzania, tunawaletea mradi mzuri ambao utakua jibu kwa wote wenye maswali ya kumiliki viwanja vya bei nafuu 2023

Kaaeni mkao wa kupokea zawadi nzuri kutoka Fursa Credit Services Limited💥💥💥

Address

2nd Floor, 4th Office Right, Mwanamboka Plaza, 31B Kawawa RD, KINONDONI
Dar Es Salaam
14110

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thedy_Fursa.viwanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category