Jenga Real Estate

Jenga Real Estate JENGA REAL ESTATE. Tunauza Nyumba na Viwanja Tu. Founder/Owner
Call 0718 211501. WhatsApp 0620 325185.

[email protected]

Tupo Magomeni Morocco Kanisani.

Pasha Real Estate Ina kupa Maeneo 7 Ambayo wewe ni ndoto Yako ya Kuwekeza Aidha Kwa Malengo ya Kujenga au hata kumiliki ...
27/04/2026

Pasha Real Estate Ina kupa Maeneo 7 Ambayo wewe ni ndoto Yako ya Kuwekeza Aidha Kwa Malengo ya Kujenga au hata kumiliki Ardhi.

Sisi Tunaamini ndani ya 7 kwasababu hata Ulimwengu uliumbwa ndani ya Siku 7.

Ndoto Yako ipo ndani ya 7 Ukituambia Tutakufungulia fumbo lako.

Tuambie kwenye Comment ni Eneo Gani ndani ya 7 Ungependa kuwekeza nasisi Tutakupa Suluhisho.

HOUSE FOR SALE.Eneo : GOBA.Square Meters : 1600.Bei : Million 370/Maongezi.Documents : Hati Milki.CONTACT.☎️Call 0718 21...
19/02/2026

HOUSE FOR SALE.
Eneo : GOBA.
Square Meters : 1600.
Bei : Million 370/Maongezi.
Documents : Hati Milki.
CONTACT.
☎️Call 0718 211501 AU 0766 654 654
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email [email protected]
PASHA REAL ESTATE,live a Happy life.

11/02/2026
Karibu katika Ulimwengu Wetu Tukuhudumie.
21/04/2025

Karibu katika Ulimwengu Wetu Tukuhudumie.

PLOT  FOR SALE. .Eneo : Kigamboni ChekaSquare Meters : 5748.Bei : Million 180Documents : Title Deed.PLOT STRUCTURE.Petro...
12/02/2023

PLOT FOR SALE. .
Eneo : Kigamboni Cheka
Square Meters : 5748.
Bei : Million 180
Documents : Title Deed.
PLOT STRUCTURE.
Petro Station ⛽ Eneo limepimwa Kwa ajili ya kituo Cha Mafuta.
SERVICES.
Maji.
Umeme.
NOTE.
Hiyo ni Site Plan ya kiwanja chenye ukubwa wa Square Meters 5748.
Kiwanja kipo Kigamboni Cheka ni Kwa Mradi wa kituo Cha Mafuta.
Kiwanja kina gusa lami yaani Main Road mjimwema kuelekea cheka.
Tunapo zungumzia uwezaji basi Eneo la uwekezaji ndo huu.
Karibu Sana Ndg Mteja Ofisi zetu zipo Magomeni kanisani.
Tuna zungumza moja kwa Moja na Landload yaani Mwenye Eneo.
K**a umevutiwa na property hii wasiliana na Bwana JENGA. .
CONTACT.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email [email protected].
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

HOUSE FOR SALE. .Eneo : Tegeta Mivumoni.Square Meters : 900.Bei : Million 65❌ 55✅.Documents : Surveyed Area.HOUSE STRUCT...
27/09/2020

HOUSE FOR SALE. .
Eneo : Tegeta Mivumoni.
Square Meters : 900.
Bei : Million 65❌ 55✅.
Documents : Surveyed Area.
HOUSE STRUCTURE.
Living Room.
Dining Room.
Open Kitchen.
2 Bedroom's.
1 Master Bedroom.
SERVICES.
Maji.
Umeme.
Public Toilet.
Parking Space.
NOTE. .
Hapo ni Tegeta Maarufu Mivumoni au Tegeta Bwawani.
Ukiwa unatoka Tegeta Bagamoyo Road unaelekea Barabara ya Wazo au Madale Upande wa Kulia Kuna sehem inaitwa Bwawani.
Hapo Kuna njia Mpya ya Vumbi itakupeleka mpaka kwenye Nyumba.
Na ukiwa unatokea Madale kuja Tegeta kabla ya kufika Wazo kiwanda Cha Cement Tegeta Bwawani ipo kushoto.
Hii Nyumba ilijengwa kwa Dhumuni la kibiashara yaani Apartment na ziko mbili ukiangalia picha ya mbele Kuna milango miwili ya Grill.
Hii Nyumba ni moja kwa Mbili upanda Kulia Kuna living Room Ambayo Ina dinning hapo hapo pamoja na Open Kitchen.
Ndani Kuna vyumba viwili kimoja Master na kingine Cha watoto.
Na upande wa kushoto nao upo hivyo.
Nyumba ni Unfinished haijaisha bado imefanyiwa plastering nje na ndani mfumo wa maji taka upo tayari na gypsum.
Aridh yake ni ya udongo mwekundu lakini kiwanja chake kina marefu zaidi ya mapana.
Hivyo ukiangalia zaidi utaona nyumba imejengwa kimarefu na si kimapana na badala ya kutazama Barabara imetazama kiwanja kingine.
Upande wa kaskazini nyumba imepakana na kiwanja,upande wa kusini Kuna Barabara ambako huko ni nyuma ya Nyumba.
Upande wa Mashariki Kuna Fance ya Jirani na upande wa Magharibi Kuna Barabara ya mtaa hivyo nyumba imejengwa kulingana na marefu ya kiwanja na si mapana ya kiwanja.
Tunapo zungumzia kupangika kwa mitaa Basi nyumba hii ipo katika eneo lililopangwa na tayari kumesha pimwa na Mawe ya mipaka yaani bicon yamewekwa tayari.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni kilometer 5 hivi.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road Tegeta Madale ni Mite 600.
Tuna zungumza moja kwa Moja na Landload yaani Mwenye Nyumba.
K**a umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA. .
CONTACT.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email [email protected].
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

Address

Kiungi
Dar Es Salaam

Telephone

+255620325185

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jenga Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jenga Real Estate:

Shortcuts

Share

Category