18/04/2020
MRADI WA VISIGA
__________________________________________________
● SIFA ZA ENEO
°Lina ukubwa wa heka 23,
°Limepimwa-Kiwanja kidogo sqm 600 to 3,000.
°Baadilhi ya viwanja vina hati tayari.
°3KM kutoka VISIGA mjini,
°1Km from JUNIOR SEMINARY VISIGA,
°Eneo linafikika kwa aina zote za usafiri,
°Mradi unazungukwa miradi na majirani
°Huduma muhimu za kijamii zipo (Barabara,Maji,Umeme upo 1KM from JUNIOR),
__________________________________________________
● VITU VILIVYOPO NDANI MRADI(ENEO)
°Nyumba za dharura za kulalia,
°Nyumba za wasadizi wa shughuli za shamba,
°Asali (Ufungaji wa nyuki)
°Korosho(Mikorosho)
°Kuku(Mabanda ya kuku)
°Machungwa(Michungwa)
°Nazi(Minazi)
°Maembe(Miembe)
°Samaki(Mabwawa ya Samaki)
°Ndizi(Mindizi)
°Fenesi(Mifenesi)
°Viazi(Matuta ya viazi)
°Mifugo(Miondo mbinu ya kufanyia ufugaji)
°Malimao( Milimao)
°Mboga mboga mbali mbali,
••••Udongo unarutuba kwa kustawisha aina nyingi sana mimea.
__________________________________________________
● MAWASILIANO '
Piga & Wastup Anytime '
°Tel:255(0)777 403 199 '
°Fac: facebook/chap chap point ltd
°You: https://youtu.be/Nf9BGm9mAI4
°Ofc: map:https://goo.gl/maps/tyMuf2veZYAcPZvD6