Fursa Credit Services Limited

Fursa Credit Services Limited Sisi Ni Kampuni ya Real Estate,Tunashughulika na kuuza Mashamba, viwanja,Umiliki wa Majengo. n.k

Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani!Fursa Credit Services Limited, tunathamini juhudi, bidii, na ndoto zinazojenga ja...
01/05/2026

Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani!

Fursa Credit Services Limited, tunathamini juhudi, bidii, na ndoto zinazojenga jamii yetu.

Katika mapumziko haya, chukua hatua ya kuwekeza kwenye maisha yako ya baadaye. Miliki kiwanja kilichopimwa Kigamboni na anza kujenga ndoto yako leo.

✅ Umiliki halali
✅ Bei nafuu
✅ Malipo rahisi
✅ Huduma za kuaminika

Chukua hatua sasa — Kiwanja chako, Ndoto yako.

📞 Tupigie au wasiliana nasi kupitia namba zilizopo kwenye tangazo.
📍 Kigamboni, Dar es Salaam

*************************************************************************

Happy Labour Day!

At Fursa Credit Services Limited, we celebrate the hard work, dedication, and dreams that build our communities.

This Labour Day, take a step towards securing your future. Own a surveyed plot in Kigamboni and start building your dream today.

✅ Verified ownership
✅ Affordable prices
✅ Flexible payment plans
✅ Trusted services

Make your move today. Your land, your dream.

📞 Call or WhatsApp us via the numbers on the poster for more details.
📍 Kigamboni, Dar es Salaam

Leo tunakumbuka na kuenzi mchango wa Mhe.Abeid Aman Karume, siku ya heshima, uongozi, na uzalendo. 🌿Tukiadhimisha histor...
07/04/2026

Leo tunakumbuka na kuenzi mchango wa Mhe.Abeid Aman Karume, siku ya heshima, uongozi, na uzalendo. 🌿

Tukiadhimisha historia yetu, tunaendelea pia kujenga kesho bora kwa vitendo. Ni wakati wa kuchukua hatua, kukuza fursa, na kusonga mbele pamoja. 🚀

✨ Jiunge nasi leo uone jinsi tunavyoweza kukusaidia kufikia malengo yako.
👉 Tembelea mitandao yetu ya kijamii: Instagram, Facebook pamoja na tovuti yetu
🌐https://fursacredit.co.tz

🏡 Tutakuwepo kwa ajili ya kukupeleka Site na kukuonyesha fursa mbalimbali!
📞 Wasiliana nasi:
+255 678 919 111
+255 746 629 596

📍 Au tutembelee ofisini kwetu:
Mwanamboka Plaza,
Mkabala na kituo cha Mwendokasi Mwanamboka,
Ghorofa ya Pili, Ofisi ya Nne (Kulia)

🔥 **Chukua Hatua Leo!** 🔥

Hallelujah, He is risen! ✝️This Easter Sunday, we celebrate hope, renewal, and new beginnings.May this season bring peac...
05/04/2026

Hallelujah, He is risen! ✝️
This Easter Sunday, we celebrate hope, renewal, and new beginnings.

May this season bring peace, joy, and abundant blessings to you and your loved ones.

Happy Easter from Fursa Credit Services LTD.
***************************************************

Haleluya, Amefufuka! ✝️
Katika Sikukuu hii ya Pasaka, tunaadhimisha tumaini, upya na mwanzo mpya.

Tunawatakia amani, furaha na baraka tele kwenu na familia zenu.

Heri ya Sikukuu ya Pasaka kutoka Fursa Credit Services LTD.

Reflect. Remember. Renew. ✨On this Good Friday, we honour the sacrifice, grace, and hope that inspire new beginnings. Ma...
03/04/2026

Reflect. Remember. Renew. ✨

On this Good Friday, we honour the sacrifice, grace, and hope that inspire new beginnings. May this day bring peace to your heart and light to your life

On this Good Friday, we honour the sacrifice, grace, and hope that inspire new beginnings. May this day bring peace to your heart and light to your path.
*****************************
Tafakari. Kumbuka. Mwanzo mpya. ✨

Ijumaa Kuu hii, tunakumbuka sadaka, neema, na matumaini yanayotupa mwanzo mpya. Tunakuombea amani moyoni na nuru katika maisha yako.

Kutoka kwetu sote Fursa Credit Services Real Estate, tunakutakia Ijumaa Kuu njema na yenye baraka.

🟧 TIGER PROJECT – BUYUNI,KIGAMBONIViwanja vya Makazi Vilivyopimwa | Tayari kwa HatimilikiEneo Bora kwa Makazi na Uwekeza...
24/01/2026

🟧 TIGER PROJECT – BUYUNI,KIGAMBONI

Viwanja vya Makazi Vilivyopimwa | Tayari kwa Hatimiliki

Eneo Bora kwa Makazi na Uwekezaji wa Kesho Tiger Project ipo Buyuni – Kigamboni, km 48 kutoka ferry, mita 300 tu kutoka barabara kuu ya Ferry-Buyuni. Eneo linakua kwa kasi na lina mazingira tulivu, salama na ya kisasa.
👉 Piga simu leo upate ramani na maelezo kamili.

Viwanja Vilivyopimwa, Hakuna Usumbufu wa Kisheria Viwanja vyote vimepimwa rasmi, viko tayari kwa Hatimiliki (Title Deed). Unanunua kwa uhakika, unajenga kwa amani ya moyo.
👉 Wasiliana nasi WhatsApp uthibitishiwe hati na vipimo.

Ukubwa Nafuu Unaokupa Uhuru wa Kujenga Viwanja kuanzia Sqm 382 kwenda juu, vinakupa nafasi ya kujenga nyumba ya kisasa, bustani na maegesho.
👉 Tembelea eneo ujionee nafasi halisi kabla ya kuamua.

Miundombinu Tayari – Huhitaji Kusubiri Miaka Umeme upo jirani, shule na vituo vya afya vipo karibu.Barabara ya lami inafika eneo la mradi – tayari kwa makazi ya familia.
👉 Piga simu leo uanze safari ya kumiliki kiwanja
chako.

Bei Nafuu Sana kwa Eneo Linalokua Haraka Bei kuanzia TSH 13,000 kwa Sqm 1 – fursa adimu kwa Kigamboni ya leo na thamani kubwa ya kesho.
👉 Wasiliana nasi WhatsApp upate hesabu ya kiwanja unachotaka.

Mipango Rahisi ya Malipo – Hakuna Kikwazo cha Kuanza
Lipa kwa:
👉Cash,
👉au anza na 20% Down Payment,
👉au tumia Flat Rate kulingana na uwezo wako.

Chukua Hatua Leo
📞 PIGA SIMU / WHATSAPP
📍 TEMBELE

A ENEO LEO
📍TUTEMBELEE OFISINI KWETU LEO: Mwanamboka
Plaza,Ghorofa ya 2 Ofisi ya nne Kulia, Kwa maelezo
Zaidi.

Usikose nafasi – Eneo Linakua Kwa Kasi!

📍 COMING SOON – BUYUNI, KIGAMBONITunawaletea mradi mpya wa viwanja vya makazi vilivyopimwa katika Wilaya ya Kigamboni – ...
20/01/2026

📍 COMING SOON – BUYUNI, KIGAMBONI

Tunawaletea mradi mpya wa viwanja vya makazi vilivyopimwa katika Wilaya ya Kigamboni – Buyuni, eneo linalokua kwa kasi na lenye miundombinu ya kijamii tayari.

✅ Barabara zipo
✅ Umeme upo
✅ Viwanja vimepimwa na viko tayari kwa umiliki

Mradi huu utaingia sokoni hivi karibuni, hivyo hii ni fursa sahihi kwa wewe anayepanga kuwekeza au kujenga makazi yako ya ndoto.

📞 Wasiliana nasi mapema
📌 Book kiwanja chako kabla havijaisha

Usisubiri soko lifunguke — chukua hatua sasa, kuwa mbele ya wengine.

28/10/2025

Address

2nd Floor, 4th Office Right, Mwanamboka Plaza, 31B Kawawa RD, KINONDONI
Dar Es Salaam
14110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa Credit Services Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fursa Credit Services Limited:

Share