Vyumba Nyumba za kupanga na kuuzwa Daresalaam

Vyumba Nyumba za kupanga na kuuzwa Daresalaam tunahusika na uuzaji wa Nyumba , Upangishaji wa Vyumba Nyumba, na sehemu za kufanyiabbiashara

Kiwanja kinauzwa Tuangoma Wilaya ya Temeke0659962452 na 0757667050.........................................................
21/06/2025

Kiwanja kinauzwa Tuangoma Wilaya ya Temeke
0659962452 na 0757667050.............................................................................................
kina 40x50 bei milioni 5 mazungumzo yapo
umeme upo
kimepakana na Ghorofa
hakiko mbali na Tuangoma kwa Saku stendi
kwa mguu kutoka stendi mwendo wa dakika 20 au kwa bodaboda kutoka stendi nauli Tsh 1,000/=....................................................................................................

Ndugu Mteja wahi kabla hakijachuliwa na mwenzio

KWA MAHITAJI YA NYUMBA, VYUMBA NA ARTMENT ZA KUPANGA KIGAMBONI TUPIGIE 0757667050i. Vyumba vya kupanga kuanzia Tsh 50,00...
21/06/2025

KWA MAHITAJI YA NYUMBA, VYUMBA NA ARTMENT ZA KUPANGA KIGAMBONI TUPIGIE 0757667050
i. Vyumba vya kupanga kuanzia Tsh 50,000/= kwa mwezi
ii. Apartment kuanzia Tsh 200,000 kwezi
ii. Nyumba za kupanga kuanzia Tsh 300,000 kwa mwezi

N:B. Service charge Tsh 20000/=

TUNAKOPESHA VIWANJA VILIVYOPIMWA KIBADA KISARAWE TWO KIGAMBONI SIMU 0659962452 na 0714150727Tunauza kwa bei ya punguzo b...
21/01/2024

TUNAKOPESHA VIWANJA VILIVYOPIMWA KIBADA KISARAWE TWO KIGAMBONI SIMU 0659962452 na 0714150727
Tunauza kwa bei ya punguzo bei ya square meter 1 Tsh 22000. Vipo vya mita 20x20, mita 30x20 nakuendelea Viwanja vipo mita 200 kutoka barabara ya kuu ya kibada kuelekea kiwanja Cha Yanga sport clib. Bei ya chini ya kiwanja Milioni 9. Malipo kwa awamu hadi miezi miwili. Huduma za kijamii zote zipo ikiwemo maji, umeme, shule, hospitali nk

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI SIMU 0659962452
28/10/2022

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI SIMU 0659962452

APARTMENT KALI ZINA PANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI BAJAJI 700/= CALL 0659 94 24 52VYUMBA 2 VYA KULALA KIMO...
20/10/2022

APARTMENT KALI ZINA PANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI BAJAJI 700/= CALL 0659 94 24 52

VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET.
MAJI YANA FLOW YA DAWASA
LUKU YAKO.
SECURITY WAYA
NDANI YA FENCE
PAVING BLOCK
PARKING SPECE KUBWA SANA

SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 280,000/=×3

0659 962452 - 0689 941074Nyumba 2 zinauzwa milioni 75 zipo kivule Manispaa ya Jiji Dar es salaam. Nyumba zipo kwenye kiw...
19/10/2022

0659 962452 - 0689 941074
Nyumba 2 zinauzwa milioni 75 zipo kivule Manispaa ya Jiji Dar es salaam. Nyumba zipo kwenye kiwanja kimoja. Sifa: Kila nyumba Ina vyumba vitatu sitting room master 1 jiko dining room na public toilet. Kila nyumba inajitegemea maji na umeme. Kiwanja sqm. 650. Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa.

Address

Kibada Kigamboni
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vyumba Nyumba za kupanga na kuuzwa Daresalaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Vyumba Nyumba za kupanga na kuuzwa Daresalaam:

Share

Category