17/12/2025
Karibuni Kisarawe yetu, hapa ni Mtaa wa Kimani jirani na Shule ya Secondari ya Kimani...
Eneo ni zuri kuna huduma zote maji,umeme, barabara na majirani pia
Bei zetu hapa ni kuanzia Milion 8.5 na zaidi kiwanja kidogo ni sqm 596
Unaweza kulipa kwa awamu mpaka