Mayeka Real Estate Agencies

Mayeka Real Estate Agencies Kwa mahitaji ya mashamba, viwanja na nyumba mkoa wa Dar es salaam na Pwani.calls/WhatsApp 0763981510

06/03/2023
NJOO NIKUUZIE KIWANJA MSIMU HUU WA MVUA.VIWANJA BORA KWAAJILI YA MAKAZI VIKINDU.Eneo la mradi : VIANZI MITI MIREFU ( KAR...
23/01/2022

NJOO NIKUUZIE KIWANJA MSIMU HUU WA MVUA.
VIWANJA BORA KWAAJILI YA MAKAZI VIKINDU.
Eneo la mradi : VIANZI MITI MIREFU ( KARIBIA NA KIWANDA CHA VIOO)
Kata :vikindu mbele kidogo ya mbagala
Wilaya :mkuranga
Mkoa: pwani
UMBALI KUTOKA STENDI KUU NI KILOMITA 3.

TUNAUZA VIWANJA VILIVYOPIMWA ,
HUDUMA MUHIMU ZOTE ZINAPATIKANA.

UKUBWA NA BEI
900,000/= futi 50×40 (mita 15/12) Sqm 200
1,800,000= futi 80×50 (mita 24/15) Sqm 400.
3,600,000= futi 100×80 (mita 30/24) Sqm 800

✍️KUMBUKA KUONA NI BURE NA KUNUNUA NI HADI URIDHIKE.

🇹🇿PIGA SIMU/ WHATSAPP 0763981510

Viwanja vinauzwa million 2 tu,vipo kisemvule,umbali kutoka mjini mpaka site ni takribani mita 500,vina ukubwa wa 50*40 f...
31/12/2021

Viwanja vinauzwa million 2 tu,vipo kisemvule,umbali kutoka mjini mpaka site ni takribani mita 500,vina ukubwa wa 50*40 ft au mita 16*13.

Kwa mawasilano zaidi piga/WhatsApp 0763981510

25/11/2021

Shamba linauzwa kimanzichana zipo ekari 10 Kwa Tsh laki 2 tu Kila ekari. Kwa mawasilano zaidi piga simu 0763981510

Viwanja vinauzwa pugu station (gongo la mboto kwa mbele kidogo) ukubwa 20*20 mita. #  kuanzia million 3 na kuendelea****...
08/11/2021

Viwanja vinauzwa pugu station (gongo la mboto kwa mbele kidogo) ukubwa 20*20 mita.
# kuanzia million 3 na kuendelea

***** kwa mawasilano zaidi 0763981510***

Punguzo la bei yaViwanja maeneo ya kisemvule,vianzi na vikindu wilaya mkuranga mkoani pwani # #  ni kuanzia laki 7 na ku...
21/10/2021

Punguzo la bei yaViwanja maeneo ya kisemvule,vianzi na vikindu wilaya mkuranga mkoani pwani

# # ni kuanzia laki 7 na kuendelea.

***Sifa za Viwanja vyetu* # #
1.Ukubwa ni ft 50*40 (16*13 Metre)
2.huduma za kijamii zipo karibu na mradi wetu
3.Usafiri wa kwenda mjini uhakika 24hrs
4. Tambarare hakuna milima Wala mabonde
5. Kila kiwanja kina barabara ya mtaa

Pia kuna shamba linauzwa masaki ya kisarawe ekari 1.5 Lina miti ya matunda mbalimbali
Bei 18Million.

@@ mawasiliano zaidi piga/WhatsApp 0763981510.

21/10/2021
12/09/2021

VIKINDU MPYA
SHELATON ECO VILLAGE..

MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI.
VIWANJA VIPO VIKINDU (MKURANGA PWANI). KILOMITA 2 KUTOKA BARABARA KUU.

VIKINDU K**A VIKINDU
✅ Maji Safi na salama yapo kwenye viwanja, Umeme upo Jirani sana na Viwanja, Shule ya serikali na private zipo jirani na mradi, Soko, kituo cha afya n.k

✅Watu wamesha anza kujenga wapo majirani kwenye Eneo la viwanja
✅Njia kubwa inapitika kipindi chote.
✅Viwanja ni tambarale kabisa.
✅Viwanja VIMESHAPIMWA ki mtaa mtaa na barabara za mitaa zimesha chongwa.

UKUBWA NA BEI
🔥1,300, 000/ = futi 50×40 (Sqm 200)
🔥2,600,000/ = futi 50×80 (Sqm 400.)
🔥5,200,000= futi 80×100 (Sqm 800.). Unaruhusiwa kuongeza Eneo zaidi (mchawi pesa tu).

USAFIRI NI UHAKIKA , kuna daladala za kutoka Gerezani hadi vikindu,
Tandika hadi vikindu , Temeke hadi vikindu , kivukoni hadi vikindu,

TUNAPOKEA MALIPO YA AWAMU (Unaweza kulipa kidogo kidogo bila riba wala dhamana, unatanguliza 50% ya malipo ya awali inayobaki utalipa ndani ya miezi 3.)
KUMBUKA UTAPELEKWA NA KURUDISHWA BUREEE NA KUNUNUA HADI URIDHIKE MWENYEWE.

NAPATIKANA KUPITIA 0763981510 WhatsApp/calls

🔥Viwanja vimepimwa MWEMBE MTENGU-- Tuangoma- KONGOWE wilaya Ya Temeke✍️2km kutoka Barabara kubwa ya Rami mpaka kwenye vi...
16/07/2021

🔥Viwanja vimepimwa MWEMBE MTENGU-- Tuangoma- KONGOWE wilaya Ya Temeke

✍️2km kutoka Barabara kubwa ya Rami mpaka kwenye viwanja
Nunua na Ujenge hakuna haja ya kusubiria pachangamke,pameshachangamka tayari

✍️Mita mraba moja TSH.8000 Tu
Huduma za kijamii K**a maji,umeme ni za uhakika mpaka kwenye viwanja..

Piga simu/WhatsApp 0763981510 Kwa safari za kwenda site kila siku..
*KUONA SITE NI BURE*

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mayeka Real Estate Agencies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mayeka Real Estate Agencies:

Share

Category