viwanja_mashamba_noble_estate

viwanja_mashamba_noble_estate Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from viwanja_mashamba_noble_estate, Estate agent, Goba (Mnadani), Dar es Salaam.

🔥🏠NEW SITE🏠🔥Mbopo Kindondo- Kinondoni Municipal Site ipo kilometer 3 kutokea Bunju ANa kilometer 7 kutoka madale mwishoS...
17/05/2021

🔥🏠NEW SITE🏠🔥
Mbopo Kindondo- Kinondoni Municipal

Site ipo kilometer 3 kutokea Bunju A
Na kilometer 7 kutoka madale mwisho
Site ipo meter 100 toka main road

Huduma za kijamii zipo k**a umeme na maji
Barabara ni nzuri na inafikika hadi site
Neighborhood ni nzuri na hakuna uswahili

Tunauza kuanzia ukubwa wa sqm 400 (20*20) sawa na Tsh 6,000,000/=
1 sqm sawa na Tsh 15,000/= kwa malipo ya cash
1 sqm sawa na Tsh 18,000/= kwa installment

Wasiliana nami kwa namba
📞0769109977 (whatsapp)

Plots For Sale🔥Goba Kulangwa🔥 Unahitaji kumiliki kiwanja kwa bei nafuuKaribu Noble Real Estate ujipatie viwanja vilivyop...
07/05/2021

Plots For Sale
🔥Goba Kulangwa🔥

Unahitaji kumiliki kiwanja kwa bei nafuu
Karibu Noble Real Estate ujipatie viwanja vilivyopimwa

Kuanzia ukubwa wa 20*20 (sqm400)
Bei ni Tsh 28,000 kwa sqm kwa malipo ya cash
Kwa malipo ya mkopo au awamu (installment) ni Tsh 32,000

Viwanja vipo umbali wa kilometer 1 kutoka barabara ya lami
Kwa bodaboda 1000
Kutembea ni dk 10 za kizungu

Kwa mawasiliano WhatsApp au Calls
Voda📞0769109977
Tigo ☎️0655109978 (WhatsApp)

26/04/2021

Habari watanzania , pata viwanja bora na kampuni ya NOBLE REAL ESTATE inakuthamini na inakuletea viwanja vilivyo karibu na huduma zote za kijamii.

Pia kupelekwa site ni bure hakuna gharama yoyote. Viwanja vipo

GOBA KULANGWA SQM 1=35,000 kwa cash na installment 40,000
GOBA KULANGWA 2 SQM 1=28,000 kwa cash na installment 32,000
Kigamboni SQM 1=10,000
Madale kinondo SQM 1=15,000
Wazohili SQM 1=40,000

KWA MAWASILIANO ZAIDI WHATSAPP NO AU PIGA SIMU
No: 0769109977
No: 0655109978

22/04/2021

Unauhitaji wa umiliki wa kiwanja??🔥🔥

Noble Real Estate ndio suluhisho, tunawaletea mradi wa Goba kulangwa.

Viwanja vimepimwa kuanzia sqm 400 na vinafaa kwa makazi.🏠
Umbali kutoka lami ni km 1, barabara ni nzuri pia umeme na maji vipo

Kwa mawasiliano whatsup au normal calls
Voda 0769109977
Tigo 0655109978

12/04/2021

💥Goba Kulangwa💥

4 km toka Goba center
1 km toka barabara ya lami ya madale
 
Bei ni Tsh. 35,000/sqm moja.
Viwanja ni vizuri sana hutajutia kuwekeza hela yako.

Huduma za kijamii zipo, umeme, maji na shule (2km toka shule ya atlas).

Hutatozwa chochote kupelekwa site, na hakuna udalali. Viwanja bado vipo vizuri na ni vikubwa, vimepimwa na vimewekewa nguzo.

Kwa Mawasiliano piga simu
Karibuni
Phone☎️: 0769109977

Tuffollow kwa taarifa mbalimbali za viwanja na miradi mipya

10/04/2021

💥Goba Kulangwa💥

4 km toka Goba center
1 km toka barabara ya lami

Bei ni Tsh. 35,000/sqm moja.
Viwanja ni vizuri sana hutajutia kuwekeza hela yako.

Huduma za kijamii zipo, umeme, maji na shule (2km toka shule ya atlas).

Hutatozwa chochote kupelekwa site, na hakuna udalali. Viwanja bado vipo vizuri na ni vikubwa, vimepimwa na vimewekewa nguzo.

Kwa Mawasiliano piga simu
Karibuni
Phone☎️: 0769109977

10/04/2021

💥Goba Kulangwa💥

4 km toka Goba center
1 km toka barabara ya lami

Bei ni Tsh. 35,000/sqm moja.
Viwanja ni vizuri sana hutajutia kuwekeza hela yako.

Huduma za kijamii zipo, umeme, maji na shule (2km toka shule ya atlas).

Hutatozwa chochote kupelekwa site, na hakuna udalali. Viwanja bado vipo vizuri na ni vikubwa, vimepimwa na vimewekewa nguzo.

Kwa Mawasiliano piga simu
Karibuni
Phone☎️: 0769109977
☎️: 0655109978

Address

Goba (Mnadani)
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when viwanja_mashamba_noble_estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to viwanja_mashamba_noble_estate:

Share

Category