06/03/2023
HAPPY NEW WEEK EVERYBODY
Have you taken a moment from your very busy schedule to visit our offices and showroom in Dar es salaam?
Jee umeshatembelea ofisi za HENOVATE DSM kujionea mashine na vifaa mbali mbali bora vya ufugaji na kilimo?
Watu mbali mbali makini na mashuhuri wanatutembelea kila siku kujionea na kuangalia fursa za uwekezaji wanazoweza kuzianza katika sekta za mifugo na kilimo.
✅Cage bora za kufugia kuku aina zote
✅Mashine za kuzalisha vyakula vya mifugo
✅Mashine za kuchakata majani
✅Mashine za kunyonyoa kuku
✅Vifaa vya kuzalisha joto kwa ajili ya kukuza vifaranga
Ushauri bora wa kitaalam wa masuala yote na miradi yote ihusuyo mifugo na kilimo.
Karibu sana utembelee ofisi zetu.
Tunapatikana Dar es salaam
Ubungo-Shekilango
Mkabala na Kilimanjaro Express
Wasiliana nasi kupitia 📞📞📞📞📞📞
0627760007
0718900804