Kiges real estate

Kiges real estate Residential and comercial plots for sale.wauzaji wa viwanja dar es salaam na pwani :kigamboni,mkuranga,kisarawe II,temeke. 0676144539

07/06/2022

Viwanja bado vipo kwenye maeneo yetu ya miradi k**a kigamboni,kisarawe II na mkuranga.bei inaongeleka ikiwa unahitaji kwa pesa taslimu au mkopo.
Piga namba 0676144539 kupata maelezo zaidi

Karibu watanzania mnaotaka kuwekeza kwenye ardhi kwa ajili ya makazi au shughuli nyingine k**a biashara,maeneo bado yapo...
10/05/2022

Karibu watanzania mnaotaka kuwekeza kwenye ardhi kwa ajili ya makazi au shughuli nyingine k**a biashara,maeneo bado yapo yanapatikana mkuranga 4km kutoka vikindu kwa bei ya milioni moja cash au milioni moja na nusu kwa mkopo usiozidi miezi 6 ukubwa wa eneo ni 20Ă—20(400 sqm) wasiliana nasi kwa 0676144539

Wapendwa wateja wetu bado tunaendelea na ofa ya kuuza viwanja.Viwanja vyetu ambavyo vipo kwenye mradi vinapatikana mkura...
21/04/2022

Wapendwa wateja wetu bado tunaendelea na ofa ya kuuza viwanja.
Viwanja vyetu ambavyo vipo kwenye mradi vinapatikana mkuranga na kisarawe ll na vinapatika kwa gharama ya kuanzia 1m.
Waliokwisha nunua wanaendelea na ujenzi.
Miliki kiwanja chako sasa upate faida zaidi kwa baadae.
Mkuranga 400sqm kuanzia 1 million
Kisarawe ll 400sqm kuanzia 3.5 million
Toangoma na vitongoji vyake 400sqm kuanzia 20 million.
Ni wewe sasa kuchagua unakotaka kuwekeza au kuishi.wasiliana nasi kwa 0676144539

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam

Telephone

+255655144539

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiges real estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category