14/04/2026
UMUHIMU WA KUINGIZA MAJINA YA MUME NA MKE KWENYE HATI
1. Kuepuka migogoro kwamba mmoja hawezi kuuza mali bila idhini ya mwenza wake.
2. Mwana ndoa mmoja hawezi kuweka mali rehani kwa kukopa pesa kwenye taasisi yeyote bila ruhusa ya mwingine.
3. Mmoja wapo hawezi kuridhisha mali bila ruhusu au consent ya mwingine.
4. Ikiwa mwanaume Ana ndoa zaidi ya moja basi hii itamsaidia mwanamke ambaye wamekubaliana kuandika majina kwenye hati na hata ikitokea mwanaume amefariki basi wale wake zake wengine mali hiyo haitawahusu kwa namna moja au nyingine.
5. Katika hiyo joint tenancy mkitaka kuachana basi hapo mtagawana sawa kwa sawa tofauti na lingekuwepo jina la mume ni kwamba mke Angepata asilimia flani tuu lkn sio nusu kwa nusu.
6. Umiliki wa Aina hii unatoa nafasi ya kila mmoja kuwa na nakala yake ya hati k**a ilivyo kwenye vyeti vya ndoa ni kwamba kila mmoja atakuwa nacho chake
0787301075