03/05/2022
Tunauza viwanja vya kibiashara vilivyopo eneo la chalinze mzee, km 5 tu kutoka kona ya chalinze. Viwanja vinapakana na barabara ya chalinze msata. Vina ukubwa wa kuanzia hekari 0.5 hadi hekari 2. Viwanja vipo katika eneo makhususi kwa biashara ya Petrol station, warehouse, industry, land port, shopping mall...nk.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0693 860 688.