19/12/2023
Eneo la uwekezaji linauzwa Dodoma, Tanzania TZS Bil 1.6 maongezi yapo.
▶️Ni eneo zuri la kimkakati kwaajili ya uwekezaji wa shule, hotel, apartment, chuo, ukumbi, au kujenga jengo la biashara lenye uwezo wa kuchukua taasisi mbalimbali.
Eneo lipo karibu na chuo cha mipango, chuo cha madini, chuo cha ufundi cha Don Bosco, seminari ya Don bosco, na makao makuu ya jeshi Makutupora. Hivyo ni katikati ya mji hivyo panaweza kujengwa kumbi za sherehe na nyumba zaidi za wapangaji. Kumbi zilizopo maeneo hayo zinajaza watu kila wiki hivyo ni pazuri mno kibiashara.
▶️Ukubwa wa eneo ni sqm 14,933...Block K.
▶️Eneo lina nyumba 5 ambapo vyumba vyote self-contained kila nyumba ina vyumba 8 kila moja, jumla ni vyumba 40 kila chumba kimoja ni sqm 21. Pia kuna nyumba 1 ina vyumba 16 kila kimoja kina sqm 15.
Vyumba vinameet requirement ya 5 star hotel ambapo ni kufanya marekebisho madogo tu yaani k**a kuweka tiles, umeme umesambazwa kwa ajili ya vitanda, TV, kusomea, na kushave.
Nyumba zote zina line ya maji moto na baridi ni kufunga heater tu.
Eneo llilotumika ni theluthi 1 tu, theluthi 2 bado halina kitu hivyo unaweza kujenga majengo mengine na kila jengo lina mita yake ya maji na umeme. Pia eneo lina wapangaji hivyo unanunua na wateja wake waliopo.
Kuna kisima kina maji muda wote na kuna maji ya Duwasa pia.
▶️Umiliki: eneo lina hati miliki
▶️Bei ni TZS Bil 1.6 maongezi yapo
Kwa Maelezo zaidi tafadhali usisite kuwasiliana nasi: +255754745874