12/08/2026
Pesa inatoka benki.
Pesa Inarudi benki.
Hakuna anayeshinda kwa kuficha hela. Unatoa, unawekeza, unavuna.
1️⃣ Unatoa hela benki — unajenga vyumba vya kupangisha.
2️⃣ Wapangaji wanaingia, kodi inaanza kila mwezi.
3️⃣ Pangisha inakuonesha nani amelipa, nani hajalipa, na deni ni kiasi gani.
Hatua ya kwanza na ya pili ni kazi yako. Ya tatu ndiyo tunayoifanya sisi, ili usipoteze unachostahili.
Gharama ni Tshs TZS 10,000/= kwa mwezi kwa nyumba 1–10.
Demo ni bure, dakika 15.
📱 0651 67 55 22 / 23 / 33 / 11
🔗 pangisha.com
Mali yako, mkononi mwako.