CHAD Creation CO LTD

CHAD Creation  CO LTD TUNAKOPESHA VIWANJA, MATOFALI NA CEMENT KWA WATEJA WA VIWANJA VYETU, MIRADI YA VIWANJA IPO KIBAHA,

Usikukubali Mwaka uishe bila kupata kiwanja!
02/10/2023

Usikukubali Mwaka uishe bila kupata kiwanja!

17/06/2023
LIPIA KIWANJA KWA MIEZI 12 ,ANZA NA LAKI TANO (500,000/=) UTAENDELEA MALIPO YA MWEZI  LAKI MOJA ELFU TANO TU 105000/ =KW...
20/11/2022

LIPIA KIWANJA KWA MIEZI 12 ,ANZA NA LAKI TANO (500,000/=) UTAENDELEA MALIPO YA MWEZI LAKI MOJA ELFU TANO TU 105000/ =
KWA MIEZI 12 .
VIWANJA VIPO KIBAHA KWA MFIPA ,GALAGAZA .
Wahi Vipo 20 tu ,Piga simu / what's up 0652873212

Hakuna presha ya kumiliki kiwanja na makazi tena  , NUNUA KIWANJA KWETU UWEZESHWE , wasiliananasi 0652873212
08/10/2022

Hakuna presha ya kumiliki kiwanja na makazi tena , NUNUA KIWANJA KWETU UWEZESHWE , wasiliananasi 0652873212

Twende Site Kesho !Kibaha utanunua kiwanja utapata na mradi wa ufugaji.Tupigie/What's up 0652873212
07/10/2022

Twende Site Kesho !Kibaha utanunua kiwanja utapata na mradi wa ufugaji.Tupigie/What's up 0652873212

Unapokula kuku ujue  kuna watu walifanya kazi kubwa kufuga  # HESHIMU WATU!
06/10/2022

Unapokula kuku ujue kuna watu walifanya kazi kubwa kufuga # HESHIMU WATU!

Ni wakati wakuwekeza kwenye MAONO Makubwa! , Si suala la kuuziwa kiwanja tu ! Hapa unanunua kiwanja na kupata kuwezeshwa...
02/10/2022

Ni wakati wakuwekeza kwenye MAONO Makubwa! , Si suala la kuuziwa kiwanja tu ! Hapa unanunua kiwanja na kupata kuwezeshwa kiuchumi. 0652873212

*WAPI : KIBAHA KWA MFIPA ,Mtaa wa Galagaza tutakuuzia kiwanja na utaingia kwenye mradi wa Ufugaji .

*BEI : Kuanzia milioni 3 na kuendelea

* HUDUMA : Umeme,Maji, Shule, Zahanati zipo.

* MAWASILIANO : Ya simu yanapatina vizuri.
* Tayari kuna makazi na huduma zote zipo.

Kwa Maelezo zaidi tupigie 0652873212/ 0674880470/ 0762781778.
Au karibu ofisini kwetu JENGO LA AMANI PLACE ,GHOROFA YA 7 ,MKABALA NA SERENA HOTEL

Habari ,Sisi kampuni ya CHADCREATION CO LTD ,tunajisghulisha na uuzaji wa viwanja katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha....
01/10/2022

Habari ,Sisi kampuni ya CHADCREATION CO LTD ,tunajisghulisha na uuzaji wa viwanja katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha.
Tuna uzoefu na changamoto ya Watanzania ktk kutekeleza ndoto zao za kumiliki nyumba .
Kwamfano mtu anaweza kuishi na ndoto hiyo mpaka anastaafu .AU huchukua muda mrefu kumiliki kiwanja hadi kuwa na nyumba kutokana na kutotosheleza kwa kipato na majukumu mengine ya maisha....Sasa nini SULUHISHO?
*Kampuni yetu imekuja na mpango wa kumuwezesha Mtanzania yeyote kupata sehemu ya faida itokanayo na uwekezaji katika ufugaji na baadae kilimo pia.
* Mteja atatakiwa ananunue kiwanja tu kutoka miradi yetu nasi tutatumia mtaji wetu kuwekeza ktk ufugaji na miradi mingine na faida tutampa mteja 40% baada ya kutoa matumizi yote.
*Mteja atamiliki kiwanja chake huku akipata faida ya miradi bila ya kupoteza muda .
*Faida itakwenda kwenye akaunti maalumu ambayo itakuwa mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba katika kiwanja alichonunua kwetu.
* Mteja atakuwa na nafasi ya kujua faida yake bila kificho na atajua bajeti ya nyumba yake hivyo anaweza kujua lengo lake la ujenzi linakwenda kutimia.
* Miradi itakuwa na bima hivyo kuondoa asara itokanayo na majanga mbalmbali.
*Viwanja vitapimwa na Mteja atamiliki hati ya wizara.
* Mradi utawawezesha watu wasio na ajira rasmi kuaminika na taasisi za fedha endapo atataka kukopa.
* Shughuli zote za Ujenzi zitasimamiwa na kampuni yetu Chad Creation Co ltd kwa kuzingatia ubora na ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu.
* Kampuni itatumia watu wenye ujuzi na teknolojia ili kuleta ufanisi wa kazi na ubora .

TARATIBU ZA KUFUATA
* kutembelea site ili uone na kuchagua kiwanja
* utapewa nafasi ya kupitia mkataba
* kufanya malipo endapo umeridhika . Malipo yatafanyika benki akaunti za kampuni
*Katika malipo utalipia gharama ya kiwanja na fomu
* Utakabidhiwa mkataba wa ununuzi wa kiwanja na mkataba wa ufugaji .
* Taratibu za ufugaji zitafanya na timu yetu kwa ubora na kufuata utaalamu.
* Utapokea vocha ya gawio la faida kila tunapofanya mauzo.
* Utashirikishwa kwa kila hatua ya mradi wa ufugaji unavyokwenda.
* Mtaji na miundombinu itabaki kuwa ya kampuni ya Chad Creation co ltd.
* Faida ya asilimia 40 itakuwa ya mteja baada ya kutoa matumizi yote .
* Tunatarajia ktk ufugaji wa kuku wa nyama na Mbuzi
*Tayari hatua za kuwa na soko la uhakika zinachukuliwa hivyo tutauza bila shida .
* Miradi yetu itakuwa na bima ya mifugo ili kuepusha majanga

Habari ,Sisi kampuni ya CHADCREATION CO LTD ,tunajisghulisha na uuzaji wa viwanja katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha....
26/09/2022

Habari ,Sisi kampuni ya CHADCREATION CO LTD ,tunajisghulisha na uuzaji wa viwanja katika Mkoa wa Pwani Wilaya ya Kibaha.
Tuna uzoefu na changamoto ya Watanzania ktk kutekeleza ndoto zao za kumiliki nyumba .
Kwamfano mtu anaweza kuishi na ndoto hiyo mpaka anastaafu .AU huchukua muda mrefu kumiliki kiwanja hadi kuwa na nyumba kutokana na kutotosheleza kwa kipato na majukumu mengine ya maisha....Sasa nini SULUHISHO?
*Kampuni yetu imekuja na mpango wa kumuwezesha Mtanzania yeyote kupata sehemu ya faida itokanayo na uwekezaji katika ufugaji na baadae kilimo pia.
* Mteja atatakiwa ananunue kiwanja tu kutoka miradi yetu nasi tutatumia mtaji wetu kuwekeza ktk ufugaji na miradi mingine na faida tutampa mteja 40% baada ya kutoa matumizi yote.
*Mteja atamiliki kiwanja chake huku akipata faida ya miradi bila ya kupoteza muda .
*Faida itakwenda kwenye akaunti maalumu ambayo itakuwa mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba katika kiwanja alichonunua kwetu.
* Mteja atakuwa na nafasi ya kujua faida yake bila kificho na atajua bajeti ya nyumba yake hivyo anaweza kujua lengo lake la ujenzi linakwenda kutimia.
* Miradi itakuwa na bima hivyo kuondoa asara itokanayo na majanga mbalmbali.
*Viwanja vitapimwa na Mteja atamiliki hati ya wizara.
* Mradi utawawezesha watu wasio na ajira rasmi kuaminika na taasisi za fedha endapo atataka kukopa.
* Shughuli zote za Ujenzi zitasimamiwa na kampuni yetu Chad Creation Co ltd kwa kuzingatia ubora na ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu.
* Kampuni itatumia watu wenye ujuzi na teknolojia ili kuleta ufanisi wa kazi na ubora .

TUNAKUWEZESHA  kumiliki kiwanja ,makazi na Mradi wa ufugaji. Nunua kiwanja kwetu upate faida ya kuwezeshwa kiuchumi kwak...
22/09/2022

TUNAKUWEZESHA kumiliki kiwanja ,makazi na Mradi wa ufugaji. Nunua kiwanja kwetu upate faida ya kuwezeshwa kiuchumi kwakuwa sehemu ya umiliki wa mradi wa ufugaji wa kuku na mbuzi.
* VIWANJA VIPO WAPI.
# Vipo KIBAHA KWA MFIPA Mtaa wa Galagaza
*BEI : Kuanzia milioni 3 na kuendelea kulingana na ukubwa wake.
HUDUMA : Viwanja vipo maeneo ambayo yana huduma zote za jamii.

SIFA za kuwezeshwa kuwa Mfugaji.
1.Raia waTanzania
2.Nunua kiwanja kwetu.
3.Uwe mwenye utayari wa ufugaji.

*KWANINI TUTAKUWEZESHA KUFUGA.
1.Ni ubunifu ambao tumeona utawasaidia wateja kuongeza kipato na kuwawezesha kuanza ujenzi kwa unafuu kutokana mapato ya mradi wa ufugaji.

*JE MTEJA ATATOA MTAJI.
Hapana mteja atawezeshwa kupitia pesa atakayolipia kiwanja ambayo itabaki kuwa ya kampuni lakini faida 40% baada ya matumizi itakuwa ya Mteja .

*JE MTEJA ATAPAJE FAIDA YAKE.
Pesa ya faida ya mteja itawekwa katika akaunti maalum ya maendeleo ya ujenzi ikumbukwe nia ya kampuni in kutatua tatizo la makazi hivyo kwa kutumia mtaji wa kampuni.

* JE TUMEJIPANGA VIPI KUKABILI HASARA.
Mradi wa ufugaji utakuwa na Bima kujilinda na Majanga pia tutafuga kisasa kwa kufuata taratibu za kitaalamu.

* JE KAMPUNI INAPATA FAIDA GANI!?
Kampuni itauza viwanja ,kuuza vifaa vya ujenzi,
Usimamizi wa ujenzi, faida itokanayo na ufugaji 60% na FAHARI YA UBUNIFU NA KUWAWEZESHA WATU KUPATA MAKAZI.

*JE MTEJA ATANUFAIKA NINI!?
1.Kwanza atamiliki kiwanja .
2.Atalipwa faida itokanayo na ufugaji 40%
3.Atafanikisha ujenzi wa nyumba.
4.Atafuga huku akiendelea na shughuli zake.

*JE MRADI UTAFANYIKA WAPI .
Kampuni inaendesha miradi ya viwanja maeneo ya Galagaza kibaha kwa Mfipa hivyo shughuli ya ufugaji pia itafanyika Kibaha.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI 0674880470/0652873212/ 0762781778

VIWANJA BEI POA ,VIPIMO VYA UHAKIKA VINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA ,GALAGAZA ! 1,750,000/= TU ...Unaweza kulipa kwa Awamu 2 ....
03/12/2021

VIWANJA BEI POA ,VIPIMO VYA UHAKIKA VINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA ,GALAGAZA !
1,750,000/= TU ...Unaweza kulipa kwa Awamu 2 ...Wasiliana nasi 0652873212

Address

Ohio Street, Amani Place 7th Floor, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CHAD Creation CO LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category