Wazalendo Properties

Wazalendo Properties VIWANJA BEI NAFUU
Viwanja vilivyopimwa. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam. Tupigie/WhatsApp 0629705684

01/10/2022

𝐌𝐢𝐥𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐢𝐰𝐚𝐧𝐣𝐚 kata ya VIKINDU 𝐤𝐰𝐚 𝐠𝐡𝐚𝐫𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐚 kuanzia Tshs 8𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎 𝐭𝐮

Bei ya viwanja kwa cash au awamu ni Tsh 800,000 tu ambapo kwa malipo ya awamu utatanguliza Tsh 500,000 iliyobaki utalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 2.
Unaruhusiwa kuunganisha kiwanja Zaidi ya kimoja na utapatiwa punguzo kabambe.
Utaratibu kwa Kutembelea miradi yetu ni siku zote za wiki kuanzia Saa mbili asubuhi hadi kumi na mbili jioni.
Fika hadi kituo cha daladala cha vikindu, piga simu utapewa maelekezo ya ofisi ilipo.
Usafiri kwenda site ni bure kabisa.
Karibuni Sana.

Mawasiliano: 0629705684 na 0716704217 (WhatsApp)

09/09/2022

𝐌𝐢𝐥𝐢𝐤𝐢 𝐤𝐢𝐰𝐚𝐧𝐣𝐚 kata ya VIKINDU 𝐤𝐰𝐚 𝐠𝐡𝐚𝐫𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐚 kuanzia Tshs 8𝟎𝟎,𝟎𝟎𝟎 𝐭𝐮
Viwanja vipo kata ya vikindu (km 1 tu kutoka stendi ya Daladala ya vikindu)
Ukubwa wa viwanja ni ft 50x 40 sawa na mita 16x14
Umeme na maji yamefika site
Pamejengeka majirani wapo
Vikindu ipo baada ya Mbagala Rangi Tatu

Bei ya viwanja kwa cash au awamu ni Tsh 800,000 tu ambapo kwa malipo ya awamu utatanguliza Tsh 500,000 iliyobaki utalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 2.
Unaruhusiwa kuunganisha kiwanja Zaidi ya kimoja na utapatiwa punguzo kabambe.
Utaratibu kwa Kutembelea miradi yetu ni siku zote za wiki kuanzia Saa mbili asubuhi hadi kumi na mbili jioni.
Fika hadi kituo cha daladala cha vikindu, piga simu utapewa maelekezo ya ofisi ilipo.
Usafiri kwenda site ni bure kabisa.
Karibuni Sana

Mawasiliano: 0629705684 (WhatsApp) na 0684074721

05/08/2022

VIWANJA! VIWANJA! VIWANJA! (PUNGUZO LA BEI)

SASA UNAWEZA KUJIPATIA KIWANJA KWA BEI YA KUANZIA 800,000/= TU.

ENEO: VIKINDU VIANZI

VIWANJA VIMEPIMWA KUANZIA FT 50/40 (SQM 222)
UNAWEZA KUUNGANISHA VIWANJA ZAIDI YA VIWILI NA KUENDELEA.

NI KM 1 KUTOKA BARABARA YA LAMI.

MALIPO YANAFANYIKA KWA FULL PAYMENT AU KWA INSTALLMENT KWA MUDA WA MIEZI MITATU (3) KWA KUANZIA NA 50% CASH PAYMENT.

HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZINAPATIKANA (SHULE, HOSPITALI, OFISI ZA SERIKALI NA MAJI DAWASA).

SITE VISIT NI SIKU YOYOTE ILE.

FIKA VIANZI STAND NIPIGIE SIMU NITAKUPELEKA SITE BILA GHARAMA YOYOTE BOSS WANGU AU FIKA OFISI ZETU ZILIZOPO VIKINDU-VIANZI MKABALA NA OFISI ZA SERIKALI YA MTAA.

KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA: 0629705684 AU 0716704217

KARIBUNI SANA.

ELIMIKA NA WAZALENDO PROPERTIES!!!!HIZI NDIO HATUA MUHIMU ZA KUFUATA UNAPOHITAJI KUNUNUA KIWANJA1. Mjue mmiliki halali w...
02/08/2022

ELIMIKA NA WAZALENDO PROPERTIES!!!!

HIZI NDIO HATUA MUHIMU ZA KUFUATA UNAPOHITAJI KUNUNUA KIWANJA
1. Mjue mmiliki halali wa eneo kwa muda huo.
Kumekua na tabia ya watu wengi kukutana na madalali na kuishia kufanya nao mauziano bila ya mmiliki kuwepo/kuwa na taarifa. Hii imepelekea watu wengi kutapeliwa ama kuuziwa kiwanja kwa bei isiyo sahihi.
Kuweza kumjua mmiliki, jitahidi kuzungumza na majirani wa eneo hilo kabla ya kufanya maamuzi ya kununua. Sisitiza kuonyeshwa ofisi au makazi yake ili kukitokea tatizo ujue pa kumpata.

2. Usifanye malipo siku ya kwanza baada ya kuona kiwanja.
Haijalishi ardhi uliyooneshwa imekuvutia kwa kiasi gani, tafuta muda wako urudi katika eneo husika bila muuzaji na uulize kwa majirani au wazawa ili kupajua vizuri. Hii itakusaidia kuhakiki taarifa za muuzaji k**a ni za kweli na eneo halijauzwa kwa mtu mwingine.

3. Ijue historia ya eneo husika
Baadhi ya ardhi zimekua kwenye migogoro baina ya wananchi na serikali au familia.
Fanya uchunguzi wa kina juu ya historia ya ardhi unayotaka kununua kupitia majirani na ofisi za serikali ya mtaa/kijiji.
Hii itakurahisihia kujua eneo na utamaduni wa watu wa eneo hilo hivyo kufanya maamuzi sahihi ya kununua au kuacha.

4. Kuwa mtu wa kudadisi kwa kuuliza maswali
Usikubali kupelekwa site na muuzaji akawa ndie mzungumzaji pekee bila wewe kuuliza maswali.
Kupitia maswali utapata kumfahamu vizuri mmiliki, je eneo hilo amerithi au amenunua?
Ana nyaraka halali za umiliki? Ni kampuni au mtu binafsi?
Ikibidi akuoneshe hati miliki kuthibitisha yeye ndie mmiliki.

5. Upatikanaji wa huduma za kijamii
Wauzaji wengi wana tabia ya kusema kuwa huduma za kijamii zipo karibu, kiuhalisia zinakua zipo mbali au hakuna kabisa.
Tumia muda wako kuhakikisha ikibidi akuoneshe mahali zilipofika.
Huduma muhimu kwa eneo la makazi ni maji, umeme, shule, hospitali na barabara inayofikika muda wote.

6. Ufanyaji wa malipo
Hiki ni kipengele muhimu sana. Malipo ni vizuri yakifanyika kwa njia za kielektroniki (benki, mitandao ya simu) na ikilazimu kutoa cash akupatie risiti ya uthibitisho. Ukimaliza malipo ni wajibu wa muuzaji kukupatia Hati miliki halali inayotambulika na serikali.

Baada ya hayo yote utakua umejipatia ardhi yako kihalali na salama.

ndio rasilimali pekee isiyoshuka thamani.

KWA VIWANJA BORA VISIVYO NA MIGOGORO TUPIGIE: 0629705684 (Watsapp) / 0684074721

14/07/2022

Tunakuletea ofa ya viwanja kwa bei za kizalendo za Watanzania wote, Kuanzia 800,000/Tsh. Tuko Vikindu, Shuka vikindu stend tupigie -> 0629705684 (WhatsApp) | 0684074721.

Wazalendo Properties tunakupa ofa ya viwanja kwa bei ya kizalendo kuanzia 800,000/, Ushindwe mwenyewe. Wasiliana nasi kw...
13/07/2022

Wazalendo Properties tunakupa ofa ya viwanja kwa bei ya kizalendo kuanzia 800,000/, Ushindwe mwenyewe.

Wasiliana nasi kwa namba 0629705684 watsapp au 0684074721 Kwa Maelezo zaidi.

Karibu utembelee miradi yetu iliyopo Vikindu Vianzi.Piga simu: 0759652217
23/05/2022

Karibu utembelee miradi yetu iliyopo Vikindu Vianzi.

Piga simu: 0759652217

Address

Vikindu
Dar Es Salaam

Telephone

+255629705684

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wazalendo Properties posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share