01/08/2026
π‘ FURSA YA UWEKEZAJI β MASHAMBA YANAUZWA MISUGURU, KATI YA KIWANGWA β CHALINZE πΏ
Je, unatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji wa muda mrefu? Hii ndiyo nafasi yako!
π Mahali: Misuguru, kati ya Kiwangwa, Wilaya ya Bagamoyo.
Unapata: β
Eneo kubwa lenye jumla ya Ekari 87 β
Bei nafuu β TSh 3,500,000 kwa Ekari β
Linafaa kwa kilimo, ufugaji na miradi mbalimbali ya maendeleo β
Fursa bora ya uwekezaji katika eneo linaloendelea kukua kwa kasi
π± Wekeza leo, thamani ya ardhi huongezeka kila mwaka!
π Wasiliana nasi: +255 766 935 721
Uwekezaji Kilimo RealEstateTanzania