Bongowood Real Estate

Bongowood Real Estate Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bongowood Real Estate, Real Estate Company, Kariakoo, Dar es Salaam.

Karibu Bongowood Real Estate 🏑
Tunatoa huduma za:
βœ”οΈ Uuzaji wa viwanja
βœ”οΈ Uuzaji na upangishaji wa nyumba
βœ”οΈ Ushauri wa uwekezaji wa ardhi
βœ”οΈ Usimamizi wa mali (Property Management)
🎯 Tunakusaidia kupata mali bora kwa uwekezaji salama.

🏑 KIWANJA KINAUZWA – MBWENI MPIJI 🏑🏑 Fursa adhimu ya uwekezaji!Kiwanja kikubwa kinauzwa Mbweni Mpiji – Dar es Salaam, SQ...
23/03/2026

🏑 KIWANJA KINAUZWA – MBWENI MPIJI 🏑

🏑 Fursa adhimu ya uwekezaji!
Kiwanja kikubwa kinauzwa Mbweni Mpiji – Dar es Salaam, SQM 2736 kwa bei nafuu ya Milioni 250 tu! πŸ”₯
Hiki ni chaguo sahihi kwa: βœ… Ujenzi wa nyumba ya kifahari
βœ… Apartments / Biashara
βœ… Uwekezaji wa muda mrefu
Usikose nafasi hii ya kumiliki ardhi kwenye eneo lenye ukuaji mkubwa!
πŸ“² Wasiliana nasi sasa: +255 766 935 721

✨ Eid Mubarak!Tunawatakia furaha, amani na mafanikio tele. πŸ•ŒπŸ’™β€” BONGOWOOD REAL ESTATE 🏑
21/03/2026

✨ Eid Mubarak!
Tunawatakia furaha, amani na mafanikio tele. πŸ•ŒπŸ’™
β€” BONGOWOOD REAL ESTATE 🏑

21/03/2026
🏑 Unatafuta kiwanja, nyumba au unahitaji usimamizi wa majengo yako?BONGOWOOD REAL ESTATE tupo kwa ajili yako kwa huduma ...
21/03/2026

🏑 Unatafuta kiwanja, nyumba au unahitaji usimamizi wa majengo yako?

BONGOWOOD REAL ESTATE tupo kwa ajili yako kwa huduma za uhakika na za kitaalamu πŸ’Όβœ¨
πŸ”Ή Uuzaji wa viwanja
πŸ”Ή Uuzaji na upangishaji wa nyumba
πŸ”Ή Upimaji, urasimishaji na ushauri wa uwekezaji wa ardhi
πŸ”Ή Usimamizi wa mali (Property Management)
πŸ‘‰ Wekeza leo, jenga kesho bora!
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0766 935 721

20/03/2026

🏑 VIWANJA VINAZWA – CHALINZE!

Unatafuta kiwanja kwa bei nafuu na eneo lenye fursa?

Hii ndiyo nafasi yako ya kumiliki ardhi leo!
πŸ“ Location: Chalinze
πŸ’° Bei: Tsh. 3,000 kwa sqm

πŸ“ Viwanja vilivyopimwa na tayari kwa matumizi
βœ… Uwekezaji wa uhakika
βœ… Eneo linaendelea kukua kwa kasi
βœ… Karibu na miundombinu muhimu
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 766 935 721

🏒 BONGOWOOD REAL ESTATE – Tunakusaidia kumiliki ndoto yako!

🏑 VIWANJA VINAZWA – KEREGE, BAGAMOYO!Unatafuta sehemu sahihi ya kujenga au kuwekeza?Hii ndiyo nafasi yako ya kipekee!πŸ“ L...
18/03/2026

🏑 VIWANJA VINAZWA – KEREGE, BAGAMOYO!

Unatafuta sehemu sahihi ya kujenga au kuwekeza?
Hii ndiyo nafasi yako ya kipekee!

πŸ“ Location: Kerege – Bagamoyo
πŸ’° Bei kuanzia: Milioni 8
πŸ“ Viwanja vilivyopimwa na tayari kwa ujenzi
βœ… Eneo tulivu na lenye maendeleo
βœ… Karibu na barabara kuu ya Bagamoyo Road
βœ… Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji

πŸ“ž Wasiliana nasi leo: +255 766 935 721
🏒 BONGOWOOD REAL ESTATE – Tunatimiza ndoto zako za kumiliki ardhi!

Bongowood

🏑 VIWANJA VINAZWA – CHALINZE!Unatafuta kiwanja kwa bei nafuu na eneo lenye fursa?Hii ndiyo nafasi yako ya kumiliki ardhi...
18/03/2026

🏑 VIWANJA VINAZWA – CHALINZE!

Unatafuta kiwanja kwa bei nafuu na eneo lenye fursa?
Hii ndiyo nafasi yako ya kumiliki ardhi leo!

πŸ“ Location: Chalinze
πŸ’° Bei: Tsh. 3,000 kwa sqm
πŸ“ Viwanja vilivyopimwa na tayari kwa matumizi
βœ… Uwekezaji wa uhakika
βœ… Eneo linaendelea kukua kwa kasi
βœ… Karibu na miundombinu muhimu

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 766 935 721
🏒 BONGOWOOD REAL ESTATE – Tunakusaidia kumiliki ndoto yako!

🏑 NYUMBA INAUZWA – IGUNGA, TABORAUnatafuta nyumba nzuri na tayari kuishi? Hii hapa fursa yako!✨ Sifa za Nyumba:β€’ Master ...
16/03/2026

🏑 NYUMBA INAUZWA – IGUNGA, TABORA
Unatafuta nyumba nzuri na tayari kuishi? Hii hapa fursa yako!
✨ Sifa za Nyumba:
β€’ Master Bedroom 1
β€’ Vyumba 2 vya kulala (jumla 3)
β€’ Sitting Room kubwa
β€’ Dining Room
β€’ Jiko
β€’ Stoo
πŸ’° Bei: TSh Milioni 75 Tu
Nyumba ipo eneo zuri Igunga – Tabora, mazingira tulivu na yanayofaa kwa makazi ya familia.
πŸ“ž Wasiliana nasi:
+255 766 935 721
🏒 BONGOWOOD REAL ESTATE
The African Entertainment Powerhouse
TaboraProperty NyumbaTanzania

🏒 UNA MRADI WA NYUMBA, VIWANJA AU MAJENGO?BONGOWOOD REAL ESTATE tupo tayari kushirikiana na wewe kuufanikisha! 🀝Tunatoa ...
16/03/2026

🏒 UNA MRADI WA NYUMBA, VIWANJA AU MAJENGO?

BONGOWOOD REAL ESTATE tupo tayari kushirikiana na wewe kuufanikisha! 🀝
Tunatoa huduma za kitaalamu katika:

βœ… Usimamizi wa Majengo (Property Management)
βœ… Ujenzi wa Nyumba na Majengo
βœ… Uuzaji wa Viwanja
βœ… Upangishaji wa Nyumba na Ofisi
βœ… Ushauri wa Miradi ya Real Estate

πŸ’Ό K**a una mradi wa Real Estate au unatafuta kampuni ya kuusimamia kitaalamu, tupatie kazi leo!
πŸ“ž Wasiliana nasi:
+255 766 935 721
πŸ“© Tuma DM au WhatsApp sasa tuanze kazi.






RealEstateAfrica
DarEsSalaamRealEstate

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongowood Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bongowood Real Estate:

Share