18/01/2024
>>Kwa ladha za vyakula na vinywaji zenye ubora mkubwa na ladha za kipekee!
> Keki (Cakes)
>Maandazi (buns)
>Mikate /scones(Breads)
>Biskuti (Biscuit)
>Ice cream
>Lambalamba (popsicle)
>Yoghurt
>Milk shake
>Juice
>Pilau/wali/michuzi (stews)
>Pombe kali (Liqours)
>Syrups
>>KWANINI UTUCHAGUE?
>Ladha bora na za kipekee sababu tunazijua ladha kwa uzoefu wa zaidi wa miaka 10 katika kutengeneza na kuchanganya ladha kwa ujuzi na sayansi ya chakula.
> TUNAAMINIKA na wapishi na watengeneza bidhaa za vyakula wengi zaidi Tanzania kuliko kampuni nyingine yoyote!
>Tunatoa elimu ya ladha kwa wateja wetu wote kuhusu matumizi ya ladha zetu na ushauri mwingine kuhusu vyakula na vinywaji!
>Tunaipenda kazi yetu na kuwapenda wateja na kuwathamini hivyo kuweka furaha yao mbele ya kila kitu...FURAHA YETU NI KUONA MTEJA WETU ANAONGEZA WATEJA NA MAUZO YAKE KUPITIA MATUMIZI YA LADHA ZETU!
>>LADHA zetu zinapatikana katika UJAZO wa;
**25g, 1/2kg, 1kg, 5kg, 20kg
Pia katika mabox ya ladha 12 yani dozen moja (100gĂ12)
Pia tunasaidia wajasiriamali kurasmisha biashara zao kupitia kampuni yetu kwa kupata vibali vya taasisi k**a TBS,BRELA,OSHA,NEMC,TFDA N.K
KWA MAWASILIANO:
TUPIGIE;
CALL: 0714291960
0755419133
>>>OFFICES:
~DUKA- KARIAKOO (MTAA WA PEMBA NA BONDE
~KIWANDA- NYAKASANGWE,WAZO, DAR-ES-SALAAM
KARIBU SANAAA MTEJA WETU WA THAMANI!