Apartments and Villas in Dar

Apartments and Villas in Dar For all your apartments and villas needs ranging from renting, selling and buying. Buy, rent and sell property with convenience in Tanzania

27/11/2025
*KIWANJA KINAUZWA MWONGOZO- KIGAMBONI* ✅Kipo karibu sana na Nyumba za NHC na NSSF karibu na bahari ya Hindi ✅ 800m kutok...
23/11/2022

*KIWANJA KINAUZWA MWONGOZO- KIGAMBONI*
✅Kipo karibu sana na Nyumba za NHC na NSSF karibu na bahari ya Hindi
✅ 800m kutoka barabara kuu ya lami.
Kwenda kuona viwanja ni siku yoyote!
Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509. Tembelea www.viwanjatanzania.co.tz kuona zaidi.

*JIPATIE VIWANJA VIZURI KWA BEI NZURI* ✅Viwanja vipo vipo Bunju, Mabwepande na Mbweni.✅Viwanja vya jirani vimeshaendelez...
23/11/2022

*JIPATIE VIWANJA VIZURI KWA BEI NZURI*
✅Viwanja vipo vipo Bunju, Mabwepande na Mbweni.

✅Viwanja vya jirani vimeshaendelezwa kwa nyumba nzuri na za kisasa.
✅Vimepimwa na vina HATI.

Wahi hii fursa kabla haijaisha!
Wasiliana nasi: 0767711120/0677303344/0744444509 kwa maelezo zaidi.

Bonyeza www.viwanjatanzania.co.tz kuona zaidi.

*MWEMBEMDOGO KIGAMBONI* ✅Viwanja vipo sehemu nzuri sana iliyo karibu sana na barabara. ✅ *Bei kuanzia Tzs 11,190,000 kwa...
22/11/2022

*MWEMBEMDOGO KIGAMBONI*
✅Viwanja vipo sehemu nzuri sana iliyo karibu sana na barabara.
✅ *Bei kuanzia Tzs 11,190,000 kwa mwaka mzima!*
✅ Vipo karibu na Eagle hotel na Chuo cha Afya Kigamboni.
✅22km kutoka Ferry au Darajani.
✅Huduma za kijamii zipo ikiwemo maji, umeme, barabara, shule nk.
✅2km kutoka barabara kuu ya Kimbiji-Ferry. Kimebaki kiwanja kimoja tu! Wahi kabla hujachelewa!
Kwenda kuona viwanja ni siku yoyote. Wasiliana nasi 076711120/0677303344/0744444509

*OFA OFA OFA KABAMBE YA VIWANJA*. Viwanja vipo YALEYALE PUNA-KIGAMBONI. ✅Vipo 500m kutoka barabara kuu ya Kimbiji-Ferry ...
21/11/2022

*OFA OFA OFA KABAMBE YA VIWANJA*.
Viwanja vipo YALEYALE PUNA-KIGAMBONI.

✅Vipo 500m kutoka barabara kuu ya Kimbiji-Ferry
✅Viwanja vinafikika kwa barabara nzuri
✅Usafiri wa daladala unapatikana
✅Vimepimwa na wanunuzi watapatiwa HATI baada ya kumaliza malipo
✅Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, shule, hospitali zinapatikana.

Wahi sasa kabla hujachelewa!
Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509.

Uwekaji wa Nguzo kuzunguka kiwanja ni moja ya ULINZI WA KIWANJA ili kuepuka wavamizi wa viwanja.Karibu Viwanja Tanzania ...
21/11/2022

Uwekaji wa Nguzo kuzunguka kiwanja ni moja ya ULINZI WA KIWANJA ili kuepuka wavamizi wa viwanja.

Karibu Viwanja Tanzania tukupatie huduma ya uwekaji wa Nguzo kuzunguka kiwanja/viwanja vyako ili kuhakikisha ulinzi wa viwanja vyako kwa bei nafuu sana.

Tunapatikana Posta Nyumba ya Maarifa Mkabala na Ofisi za shirika la Ndege ATC.

Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509 kwa maelezo zaidi!

*OFA OFA OFA KABAMBE YA VIWANJA* ✅Vipo eneo zuri sana la KIMBIJI GOLANI-KIGAMBONI ✅Vipo 3km kutoka barabara kuu ya Kimbi...
18/11/2022

*OFA OFA OFA KABAMBE YA VIWANJA*
✅Vipo eneo zuri sana la KIMBIJI GOLANI-KIGAMBONI
✅Vipo 3km kutoka barabara kuu ya Kimbiji-Ferry
✅Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, shule, hospitali zinapatikana.

Wahi sasa kabla hujachelewa!
Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509

*KIWANJA KINAUZWA MBEZI MSHIKAMANO* ✅Kipo Mbezi Mshikamano nyuma ya stand ya Magufuli, 3km kutoka barabara kuu ya Morogo...
18/11/2022

*KIWANJA KINAUZWA MBEZI MSHIKAMANO*
✅Kipo Mbezi Mshikamano nyuma ya stand ya Magufuli, 3km kutoka barabara kuu ya Morogoro
✅Ukubwa 2,199.70 SQM(zaidi ya NUSU HEKA)
✅Huduma za kijamii ikiwemo maji, umeme, shule zinapatikana.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi 0767711120/0744444509/0677303344. Viwanja Tanzania-Supermarket ya Viwanja

*TWENDE TUKAONE VIWANJA* Tunakukaribisha J'Mosi hii kwenda kuona Viwanja Kigamboni, Kiluvya, Kibaha-Visiga, Kerege, Vika...
18/11/2022

*TWENDE TUKAONE VIWANJA*
Tunakukaribisha J'Mosi hii kwenda kuona Viwanja Kigamboni, Kiluvya, Kibaha-Visiga, Kerege, Vikawe, Mbweni na Bunju.
Wahi fursa ya Viwanja Bei kuanzia *Tzs 2,500,000* kabla haijaisha. Malipo kwa awamu mpaka miezi 12.
Wasiliana nasi 0767711120/0677303344/0744444509 kwa maelezo zaidi.

FURSA ZA VIWANJA VIZURI MUONGOZO-KIGAMBONIKaribu VIWANJA TANZANIA ujipatie viwanja vizuri vilivyopimwa vilivyopo Kigambo...
17/11/2022

FURSA ZA VIWANJA VIZURI MUONGOZO-KIGAMBONI
Karibu VIWANJA TANZANIA ujipatie viwanja vizuri vilivyopimwa vilivyopo Kigamboni, Muongozo eneo la Malimbika. Vipo 19km kutoka mjini na karibu sana na barabara kuu ya lami. Maeneo ya jirani yameishaendelezwa kwa ujenzi wa nyumba nzuri na za kisasa.
Huduma za jamii zikiwemo umeme, barabara, shule, nyumba za ibada na ulinzi zinapatikana.
• Bei ni kuanzia Tzs 12,200,000
• Malipo ni kwa awamu mpaka miezi 12.
WAHI KABLA HUJACHELEWA
VIWANJA TANZANIA NI SUPERMARKET YA VIWANJA
Tunapatikana mjini, mtaa wa Ohio, nyumba ya Maarifa. Simu 0677 303 344 / 0767 711 120 / 0744 444 509. Au tembelea tovuti yetu www.viwanjatanzania.co.tz/plots/115 kuona fursa za viwanja zaidi.

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255767711120

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apartments and Villas in Dar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Apartments and Villas in Dar:

Shortcuts

Share