Prosperity Real Estate

Prosperity Real Estate Wauzaji wa viwanja vilivyopimwa

Happ
07/07/2024

Happ

Huduma zote za kuuza na kupanga nyuma yenye sifa stahiki utazipata kwetu, Prosperity Real Estate tunakuhakikisha unapata...
15/05/2024

Huduma zote za kuuza na kupanga nyuma yenye sifa stahiki utazipata kwetu, Prosperity Real Estate tunakuhakikisha unapata nyumba na sehemu nzuri kwa ajili ya makazi ya muda mrefu na mfupi.

Karibu upate Huduma Bora kutoka kwetu.

Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126











Join our team☑️
14/05/2024

Join our team☑️

It's a new week It's a new day And new possibilities The week is yours, own it🥂🤝. Tembelea ofisi zetu zilizopo;Tegeta Ki...
06/05/2024

It's a new week
It's a new day
And new possibilities
The week is yours, own it🥂🤝.

Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126

Sasa unaweza kutembelea na kujipatia kiwanja katika miradi yetu inayopatikana Madale, Bunju beach na kibaha.. Miradi hii...
06/05/2024

Sasa unaweza kutembelea na kujipatia kiwanja katika miradi yetu inayopatikana Madale, Bunju beach na kibaha..

Miradi hii yote imepimwa na ipo sehemu yenye mandhari inayovutia

Pia, miradi hii Iko karibu kabisa na huduma zote za kijamii ikiwemo maji, hospitali na barabara inayofikika.

Wakati ni sasa wa kutimiza ndoto yako kwa kupata sehemu bora iliyo nasifa stahiki.

Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126









Happy International Labour Day🤝
01/05/2024

Happy International Labour Day🤝

"It's either you run the day or the day runs you"Happy New Week Y'all🤝.Tembelea ofisi zetu zilizopo;Tegeta Kibaoni (Nyuk...
29/04/2024

"It's either you run the day or the day runs you"

Happy New Week Y'all🤝.

Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126









BUNJU BEACH 📍📍Mradi wetu wa Bunju beach ni mradi wenye mandhari nzuri na upo karibu na ufukwe wa bahari..Unahitaji kutim...
29/04/2024

BUNJU BEACH 📍📍
Mradi wetu wa Bunju beach ni mradi wenye mandhari nzuri na upo karibu na ufukwe wa bahari..

Unahitaji kutimiza ndoto zako kuishi katika moja ya sehemu tulivu Kwa kununua kiwanja mahali hapa

Viwanja Vipo umbali wa Mita 800 kutoka barabarani, pia ni sehemu iliyojengeka vizuri Kwa makazi ya watu

Je unahitaji kutembelea mradi huu?
Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126








ale

Happy Muungano Day.
25/04/2024

Happy Muungano Day.

Mradi wa Madale Nguzo upo kilomita 1 tu kutoka barabarani. Mandhari nzuri yenye mazingira tulivu kwa makazi.Sehemu kubwa...
23/04/2024

Mradi wa Madale Nguzo upo kilomita 1 tu kutoka barabarani. Mandhari nzuri yenye mazingira tulivu kwa makazi.

Sehemu kubwa ya mradi Kuna makazi ya watu, vile vile kwenye mradi huduma zote za kijamii zinapatikana.

Hii ni fursa kubwa sana kuwekeza katika mradi huu wa madale.
Ni wakati wako wa kumiliki kiwanja🔥

Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126






BUNJU BEACH☑️🔥 Bunju beach ni mradi mpya Kati ya miradi inayomilikiwa na Prosperity Real Estate Co.LtdMradi huu upo mita...
22/04/2024

BUNJU BEACH☑️🔥
Bunju beach ni mradi mpya Kati ya miradi inayomilikiwa na Prosperity Real Estate Co.Ltd

Mradi huu upo mita 800 kutoka barabarani Mandhari ya mradi ni nzuri na tulivu kabisa

Mradi wa Bunju Beach umezungukwa na huduma zote muhimu za kijamii na pia mradi huu umepimwa

UJANJA NI KUMILIKI KIWANJA.

JE ungependa kununua au kutembelea mradi wetu?
Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126








Mradi huu wa madale (nguzo) upo kilomita 1 tu kutoka barabarani na pia mradi umezungukwa na huduma zote za kijamii.Unawe...
18/04/2024

Mradi huu wa madale (nguzo) upo kilomita 1 tu kutoka barabarani na pia mradi umezungukwa na huduma zote za kijamii.

Unaweza kulipa kwa awamu (kidogo kidogo) ndani ya miezi 6 na kuweza kumiliki kiwanja chako

Viwanja vyote katika mradi huu vimepimwa.
Huu ndio wakati wako wa kumiliki kiwanja na kujenga nyumba za ndoto yako😊🔥

Tembelea ofisi zetu zilizopo;
Tegeta Kibaoni (Nyuki House Floor 3)
Mlimani city (Office Park Block 4, Floor 1)

Kwa mawasiliano tupigie;
0679620634
0769321126






Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prosperity Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share