Swahili Movies

Swahili Movies Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili Movies, Dar es Salaam.

Karibu Kwenye Page Yetu Ya | SWAHILI MOVIES | 🍿🎬πŸ”₯

Ukihitaji Single Movies Au Series Yoyote Usisite Kunicheki Whatsapp Kwa Namba Hizi : 0762873835

Tupo Active 24 Hours 🀝

27/02/2026

πŸ‘‰ Danny alikuwa mtoto wa mfanyabiashara mkubwa wa kampuni ya Rand Enterprises. Akiwa na wazazi wake, walipata ajali ya ndege milimani.

Wazazi wake walifariki, lakini Danny aliokolewa na kupelekwa kwenye mji wa siri unaoitwa K'un-Lun, ambako alilelewa na kufundishwa sanaa za mapigano kwa miaka mingi.

Baada ya mafunzo makali, Danny alifanikiwa kumshinda joka wa kichawi anayeitwa Shou-Lao, na akapewa nguvu ya β€œIron Fist” uwezo wa kukusanya nguvu ya ndani (chi) mkononi mwake na kuufanya uwe na nguvu k**a chuma.

Miaka 15 baadaye, Danny anarudi New York kudai urithi wake na kampuni ya familia. Lakini anakutana na upinzani kutoka kwa marafiki wa zamani wa familia, hasa Harold Meachum na watoto wake.

Wakati huo huo, anapambana na kundi la siri la wahalifu linaloitwa The Hand, ambalo lina mipango ya kuharibu mji.

Katika safari yake, Danny anasaidiwa na rafiki yake Colleen Wing, mpiganaji hodari wa karate. Pamoja wanapambana kulinda mji na kufichua siri nzito za zamani ✍️

Full series nicheki whatsapp : 0762873735 🀝

08/01/2026

πŸ‘‰ Ni hadithi ya mapambano, uzalendo na mapenzi inayotokea Korea wakati wa utawala wa Kijapani (miaka ya 1930).

Inamhusu Lee Kang To, askari anayefanya kazi kwa wakoloni wa Kijapani, lakini maisha yake yanabadilika anapokutana na shujaa wa siri anayejulikana kwa barakoa ya harusi mtu anayewapigania wananchi kwa haki.

Kadri ukweli unavyoanza kujitokeza, Kang To anatambua maumivu ya watu wake na usaliti wa mfumo anaoutumikia.

Anaanza safari ya kujikomboa, akipambana na maadui wa nje na wa ndani, huku akilazimika kuficha utambulisho wake halisi.

Ndani ya vurugu hizo, mapenzi na kujitoa muhanga vinajaribiwa, na ujasiri wake unakuwa tumaini kwa waliodhulumiwa πŸ”₯

Full series utaipata kwa 7,500 ikiwa na episode 28 na kila episode ikiwa na lisaa na dk 5

Ukiitaka full nicheki whatsapp : 0762873735 🀝

07/12/2025

πŸ‘‰ Ni Katika dunia ya baadae baada ya vita kubwa na ya mda mrefu kupita, maeneo yote yanaitwa Badlands na yanatawaliwa na mabwana wa vita (Barons) wenye nguvu na majeshi yao ya hatarii

Hakuna risasi ila ni ulimwengu wa mapanga, mikuki na mapigano ya kasi.

Mwamba Sunny, mkali anayejulikana k**a Clipper wa Baron Quinn, ni mpiganaji hatari anayeheshimika sana. Akiwa kwenye moja ya misako, anakutana na kijana mwenye nguvu za ajabu aitwaye M.K.

Huyu bwana mdogo damu yake ikimwagika au kutoka na akifanikiwa tu kuiona, anapata nguvu zisizozuilika yaani k**a kuna kiumbe huwa kinamvaa na kuutumia mwili wake na nguvu hizo za ajabu kweli kwelii πŸ‘€

Sunny anaona mtoto huyu anaweza kuwa ufunguo wa kuvunja mfumo wa utawala wa mabwana wa vita πŸ€”

Wawili hao wanakimbia kutoka kwa Quinn na maadui wengine ili kutafuta mahali pa amani panapoitwa Azra, Sehemu ya siri inayodaiwa kuwa nje ya machafuko ya Badlands yaani sehemu ya pekee yanye amani katika mji wote ani ✍️

Safari yao inajaa usaliti, vita kali, na mapambano ya kutishaa, unahisi sunny atafanikiwa kufika Azra akiwa salama usiikose hii series ni kalii mno maana humo kuna action za kufa mtu aisee πŸ”₯πŸ™Œ

Hii ni series full utaipata kwa elfu 8 ikiwa na season 1 mpaka ya 3 hapo ndio inakuwa complete changamkia hii offer chaap 😊

Ukiihitaji nicheki whatsapp : 0762873735 🀝

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Movies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili Movies:

Shortcuts

Share