Kasulu REAL Estate

Kasulu REAL Estate Kwa mahitaji ya nyumba/chumba/fremu ya kupanga,shamba/kiwanja suluhisho ni kuwaona au kuwasiliana nasi kupitia mamba zetu za simu0713 731411/0684969641.

HOUSE FOR RENT                                           ==============Nyumba inapangishwa ipo   kwa   hiyo ndogo ina   ...
21/05/2018

HOUSE FOR RENT
==============
Nyumba inapangishwa ipo kwa hiyo ndogo ina na na hiyo kubwa ambayo ni two in one(nyumba moja ila pacha) kila moja ina , , , na .

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi Kwa namba ya simu ifuatayo,

0713 731411

Fremu inapangishwa ipo Kinzudi kwa Mtenga ipo barabarani opposite na Mekuz Pub.Kwa mawasiliano zaidi piga 0713 731411
15/03/2018

Fremu inapangishwa ipo Kinzudi kwa Mtenga ipo barabarani opposite na Mekuz Pub.Kwa mawasiliano zaidi piga 0713 731411

06/03/2018

Kaa tayari new advertisements and deals concerning are coming soon.

Tunawatakia wateja wetu wote na familia zao Ramadahan Kareem.Tunawatakia mfungo mwema katika mwezi huu mtukufu.Wishing a...
09/06/2016

Tunawatakia wateja wetu wote na familia zao Ramadahan Kareem.Tunawatakia mfungo mwema katika mwezi huu mtukufu.

Wishing all our customers and families a blessed Ramadan.May the Holy month usher in a fulfilling season of reflection and renewal.Ramadan Kareem.

Find us through this map👇👇👇👇👇
24/05/2016

Find us through this map👇👇👇👇👇

APARTMENTS ZINAPANGISHWA, zipo Kunduchi(MEKO) kila  NYUMBA ina*Master bedroom 1*Sitting room*JIKO *Car parking kubwa*Two...
29/04/2016

APARTMENTS ZINAPANGISHWA, zipo Kunduchi(MEKO) kila NYUMBA ina
*Master bedroom 1
*Sitting room
*JIKO
*Car parking kubwa
*Two Public toilets
*Ipo ndani ya fence
*Luku inajitegemea kwa kila NYUMBA
*kuna maji ya Dawasco
==============================================
KODI:Miezi 6 -12
==============================================
Kwa mawasiliano zaidi piga:-
0713 731411/0684 969641

NYUMBA INAPANGISHWA IPO DAR ES SALAAM, KUNDUCHI-MTONGANI mita chache kutoka barabara ya kuelekea  BEACH # au KUNDUCHI BE...
25/04/2016

NYUMBA INAPANGISHWA IPO DAR ES SALAAM, KUNDUCHI-MTONGANI mita chache kutoka barabara ya kuelekea BEACH # au KUNDUCHI BEACH.
=============================================
*Ina master bedroom 1
*Vyumba viwili vya kulala
*Gereji ya kuhifadhi gari
*JIKO
*Sitting room kubwa
*Maji ya # yapo 24hrs
*Ipo ndani ya fence
*Ina # vinavyojitegemea
*Ina #
*Luku inajitegemea kivyake
*Ina car parking space ya kutosha
==============================================
KODI NI TSHS. 400,000/= KWA MWEZI, MALIPO NI MIEZI 12 PAMOJA NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA REAL ESTATE.
===============================================
Kwa mawasiliano zaidi piga:-
0684 969641
0713 731411
===============================================

Wote mnakaribishwa

NYUMBA INAPANGISHWA IPO SALASALA KILIMAHEWA(BAR MPYA), MITA CHACHE KUTOKA MNARANI.=================================INA V...
23/04/2016

NYUMBA INAPANGISHWA IPO SALASALA KILIMAHEWA(BAR MPYA), MITA CHACHE KUTOKA MNARANI.
=================================
INA VYUMBA 2 VYA KULALA,MASTER BED ROOM 1,JIKO, SITTING ROOM, KUNA MAJI YA DAWASCO, LUKU YA KUJITEGEMEA, IPO NDANI YA FENCE NA KUNA PARKING YA KUTOSHA.

PAYMENTS: KUANZIA MIEZI 6 NA KILA MWEZI NI TSHS.500,000/=

Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo-:
0713 731411
0684 969641

Kwa mahitaji ya nyumba ya kupanga maeneo ya TEGETA TOWN wasiliana nasi mapema kabla vyumba havijaisha.Piga namba zifuata...
21/04/2016

Kwa mahitaji ya nyumba ya kupanga maeneo ya TEGETA TOWN wasiliana nasi mapema kabla vyumba havijaisha.
Piga namba zifuatazo:
0713 731411 au 0684 969641

Address

Kinondoni, Mbezi Beach
Dar Es Salaam
BOX105053

Telephone

0713731411

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasulu REAL Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category