Martine.viwanja

Martine.viwanja Kwa Upangishaji I Uzaji Wa Majengo I Vyombo Vya Moto Pamoja na Ardhi.

Most of companies kubwa zinazofanya vizuri kwenye biashara huwa zinamiliki ardhi au assets za kudumu, kwa sababu hii huw...
08/05/2026

Most of companies kubwa zinazofanya vizuri kwenye biashara huwa zinamiliki ardhi au assets za kudumu, kwa sababu hii huwa ni security kubwa sana kwa kampuni. Kampuni ikiwa na mali k**a kiwanja au eneo lake rasmi, inaongeza thamani na uaminifu wake mbele ya taasisi za kifedha, wawekezaji na hata washirika wa biashara.

Mfano ikitokea kampuni inahitaji mkopo wa kupanua biashara, kuongeza mtaji au kufanya uwekezaji mwingine, inakuwa rahisi zaidi kupata support kwa sababu tayari kuna asset inayoi-support kampuni. Pia ardhi ni moja ya uwekezaji ambao thamani yake mara nyingi inaongezeka kadri muda unavyoenda, hivyo mbali na kuwa security, bado inakuwa ni sehemu ya kukuza mtaji wa kampuni kimya kimya.

Kampuni nyingi kubwa zinawekeza kwenye ardhi mapema kwa sababu wanajua future ya biashara inahitaji sehemu salama ya kusimama. Hata k**a eneo lipo mbali leo, kadri maendeleo yanavyoongezeka linaweza kuja kuwa eneo lenye thamani kubwa sana baadae. Ndiyo maana kumiliki kiwanja kupitia kampuni siyo tu suala la kuwa na eneo, bali ni kujenga nguvu na stability ya biashara kwa muda mrefu.

*i

27/04/2026
26/04/2026

Mbingu ni za Mungu, lakini ardhi ameikabidhi mwanadamu (Zaburi 115:16). Hii means ardhi si tu mali, ni responsibility na opportunity ya kizazi.

Leo cities are expanding, population inaongezeka, but land remains the same. That’s why every piece of land today is a growing asset tomorrow.

Mithali 24:27 inasema:
“Prepare your work outside, and make it ready for yourself in the field…”
Kwa lugha ya uwekezaji: build your foundation first, then structure your future.

Real estate si mchezo wa haraka, ni strategy ya muda mrefu. Ukiwekeza leo, unakuwa una-build wealth kimya kimya kesho.

Na Biblia inasisitiza wazi: “Kile mtu apandacho ndicho atakachovuna” (Wagalatia 6:7).
So what you invest in land today, ndiyo returns zako za future.

This is not just buying land…
ni building legacy.

17/04/2026

Mwasonga Mkamba bado kuna viwanja 3 tu vimebakia,
bei ni 15,000 kwa SQM,
unaweza kuanza na Milioni 3,
kisha umalizie ndani ya miezi 6.

Kwa maelezo zaidi au kufanya booking:
📞 0676 033 735
NAM Properties – Tunakuunganisha na uwekezaji sahihi wa ardhi.

Watu wengi hudhani fence ndiyo inalinda kiwanja, lakini ukweli unaweza kuwa tofauti.Wewe una maono gani kuhusu hili? co...
11/04/2026

Watu wengi hudhani fence ndiyo inalinda kiwanja, lakini ukweli unaweza kuwa tofauti.

Wewe una maono gani kuhusu hili?
 comment jibu lako sasa.

09/04/2026

Wenzio wako busy kununua
Viwanja na kuanzisha Biashara, wewe unatafuta Mbinu
usiachike! #

Address

Mbuyuni, Kigamboni
Dar Es Salaam
11000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Martine.viwanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category