ONE Real Estate Expertise

ONE Real Estate Expertise � Architectural Design
� Bill of Quantities & Construction
� Rent. Sell. Buy. Investment.
� Free Advice on any related real estate issues

MAMBO YA MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA ARDHI  AU NYUMBA  (ili ununue ardhi salama) 1⃣. Mshirikishe mpima ardhi (l...
17/12/2022

MAMBO YA MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA ARDHI AU NYUMBA (ili ununue ardhi salama)

1⃣. Mshirikishe mpima ardhi (land surveyor), mpima ardhi anahitajika ili aweze kukufanyia ukaguzi wa eneo lako ili kutambua eneo husika limepangiwa kwa ajili ya matumizi gani katika ramani ya mipango miji (ambayo ni ramani inayoonyesha matumizi mbalimbali ya katika ardhi mf barabara, makazi,eneo la wazi n.k)

2⃣. Shirikisha majiran wa eneo unalotaka kununua, ili uweze kutambua muuzaji wa eneo ni halali au sio, na pia itakusaidia kujua k**a eneo halina migogoro. (Fanya mahojiano na majiran bila muuzaji kujua)

3⃣. Hakiki umiliki wa eneo husika serikali ya mtaa au k**a kiwanja kimepimwa basi unaweza kupata taarifa zake halmashauri husika.

4⃣. Tengenezeza mikataba ya mauziano ya ardhi (sale agreement) ambayo huandaliwas na mwanasheria

5⃣. Kamilisha malipo kwa njia sahihi ya kibenki

❗PLOT FOR SALE MBWENI MPIJI❗♠️ Location (Mahali): Mbweni Mpiji ♠️ Plot size (Ukubwa): sqm 3431♠️ Usage (Matumizi): Makaz...
28/09/2022

❗PLOT FOR SALE MBWENI MPIJI❗

♠️ Location (Mahali): Mbweni Mpiji

♠️ Plot size (Ukubwa): sqm 3431

♠️ Usage (Matumizi): Makazi

♠️ Documents (Uhalali): HATI MILIKI SAFI

♠️ Price (Bei): Tshs 180 Million & negotiable

♠️ Mode of payment (Mfumo wa malipo): Makubaliano

❗NB; For more information call (piga) & what's app +255782440992❗

❗PLOT FOR SALE GOBA KULANGWA❗♠️ Location (Mahali): Goba Kulangwa ♠️ Plot size (Ukubwa): 20x20 (sqm 400)♠️ Usage (Matumiz...
28/09/2022

❗PLOT FOR SALE GOBA KULANGWA❗

♠️ Location (Mahali): Goba Kulangwa

♠️ Plot size (Ukubwa): 20x20 (sqm 400)

♠️ Usage (Matumizi): Makazi

♠️ Distance (Umbali): 800m kutoka goba road ya lami

♠️ Documents (Uhalali): Limepimwa bado HATI

♠️ Price (Bei): Tshs 17Million & negotiable

♠️ Mode of payment (Mfumo wa malipo): Mkupuo

❗NB; For more information call (piga) & what's app +255782440992❗

List ya viwanja vilivyopo sokoni & zaidi. ☎️ for more information
23/08/2022

List ya viwanja vilivyopo sokoni & zaidi.
☎️ for more information

Site Visit with our client 😍
13/08/2022

Site Visit with our client 😍

Haya karibu tukushauri juu ya ujenzi!Tupe pia kazi ya kukujengea au kusimamia ujenzi wako.Ushauri wowote kuhusu real est...
25/01/2022

Haya karibu tukushauri juu ya ujenzi!
Tupe pia kazi ya kukujengea au kusimamia ujenzi wako.
Ushauri wowote kuhusu real estate ni bureeeeee...

🇹🇿

Haya karibu tukushauri juu ya ujenzi!Tupe pia kazi ya kujengea au kusimamia ujenzi wako.Ushauri wowote kuhusu real estat...
25/01/2022

Haya karibu tukushauri juu ya ujenzi!
Tupe pia kazi ya kujengea au kusimamia ujenzi wako.
Ushauri wowote kuhusu real estate ni bureeeeee...

🇹🇿

22/06/2021

❗PLOT FOR SALE PAMOJA NA BOMA LAKE❗

♠️ Location (Mahali): Mapinga karibu na shamba la mkapa

♠️ Plot size (Ukubwa): nusu acre (sqm 2000)

♠️ Usage (Matumizi): Makazi

♠️ Distance (Umbali): 4km from bagamoyo road

♠️ Documents (Uhalali): Limepimwa bado kupata HATI

♠️ Price (Bei): Tshs 30Million & negotiable

♠️ Mode of payment (Mfumo wa malipo): Mkupuo

❗NB; For more information call (piga) & what's app +255782440992❗

♠️ Tunachora ramani za kila aina (architectural design)♠️ Tunajenga kwa niaba ya mteja (construction)♠️ Tunakupigia hesa...
22/06/2021

♠️ Tunachora ramani za kila aina (architectural design)

♠️ Tunajenga kwa niaba ya mteja (construction)

♠️ Tunakupigia hesabu za gharama zote (bill of quantities)

♠️ Tunasimamia ujenzi (supervising services)

♠️ Tunatoa ushauri wowote kuhusu ujenzi bureee

❗ Call/text/what's app for more information at +255782440992

Happy Holidays From Our Madame CEO & The Team, Enjoy to the fullest ♥️
24/12/2020

Happy Holidays From Our Madame CEO & The Team, Enjoy to the fullest ♥️

Happy Farmer's Day From Madame ONE Real Estate Expertise ♥️ @ Chamwino Ikulu
08/08/2020

Happy Farmer's Day From Madame ONE Real Estate Expertise ♥️ @ Chamwino Ikulu

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 15:00

Telephone

+255782440992

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ONE Real Estate Expertise posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ONE Real Estate Expertise:

Share

Category