LSP Property Professional AGENT

LSP Property Professional AGENT Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from LSP Property Professional AGENT, Real Estate Company, Dar es Salaam.

we deal with the real estate business, Particularly Land/Property sale, Property consultancy, Land development, Land Surveying, Building, Landscaping and Gardening, Letting business/Residential Premises and Affiliate Marketing.

Jipatie kiwanja Goba Kwa Bei poa ya Shilingi mil 6 tu, mtaa unaitwa Goba wine, ni eneo zuri kwa makazi. Hii inawalenga w...
22/08/2024

Jipatie kiwanja Goba Kwa Bei poa ya Shilingi mil 6 tu, mtaa unaitwa Goba wine, ni eneo zuri kwa makazi. Hii inawalenga wale wote ambao wanaenda kuishi Goba, viwanja vina ukubwa mbalimbali, kidogo kabisa kinaanzia sqm 100, sqm 200, n.k

Check out Honory’s video.

With Bongo Zozo – I just got recognized as one of their top fans! 🎉
09/08/2024

With Bongo Zozo – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

Kiwanja namba 5 sqm 801 kinauzwa mil 22, kipo Mbezi Msumi Center, karibuni sana. Wahi Sasa hii ofa ya Nanenane.
30/07/2024

Kiwanja namba 5 sqm 801 kinauzwa mil 22, kipo Mbezi Msumi Center, karibuni sana. Wahi Sasa hii ofa ya Nanenane.

VIWANJA vya beach vinapatikana BAGAMOYO-KINGANI BEACH vipo Jirani kabisa na Bahari na vipo ndani ya (Bagamoyo-Urban) yaa...
23/07/2024

VIWANJA vya beach vinapatikana BAGAMOYO-KINGANI BEACH vipo Jirani kabisa na Bahari na vipo ndani ya (Bagamoyo-Urban) yaani ndani ya halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Chagua kiwanja Bei poa kabisa, Elfu 20 kwa mita Moja za Mraba, utaratibu wa malipo anza na asilimia 50% ya malipo yote kiasi kinachobaki utamalizia ndani ya miezi 6. Changamka vimebaki vichache hakuna asiyetaka ukimiliki kiwanja mjini huduma za kijamii ni k**a zote, fikiria viwanja vipo Jirani na chuo Cha ST Augustine, Chuo Cha Marian, n.k

Hivi viwanja vimenyooka k**a mnavyoona, vipo Jirani kabisa na chuo Cha Afya  Kigamboni- Mwembe mdogo.
12/05/2024

Hivi viwanja vimenyooka k**a mnavyoona, vipo Jirani kabisa na chuo Cha Afya Kigamboni- Mwembe mdogo.

Check out Honory’s video.

Kuna sababu za kuzungatia unapotaka kununua kiwanja, fuatilia zaidi hii page utapata elimu zaidi na fursa zinazopatikana...
30/04/2024

Kuna sababu za kuzungatia unapotaka kununua kiwanja, fuatilia zaidi hii page utapata elimu zaidi na fursa zinazopatikana maeneo husika.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LSP Property Professional AGENT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share