Clement Lugendo

Clement Lugendo Real Estate Agent

21/06/2021

Gauni Nzuri Za Watoto, Bei Nafuu Kabisa. Ni Ochu Mtumba Classic pekee unapata Nguo hizi Mtumba Grade one kabisa kutoka Canada kwa Bei ya Kitanzania
Leo tupo wazi mpaka saa 12:30 Jioni
👌

Ofa Kubwa Msimu Huu Wa Sikukuu, Punguzo la 30%-Pata Kiwanja Kiluvya Makurugenzi kwa bei ya punguzo ya 7,000 tu kwa sqm-A...
25/11/2020

Ofa Kubwa Msimu Huu Wa Sikukuu, Punguzo la 30%
-Pata Kiwanja Kiluvya Makurugenzi kwa bei ya punguzo ya 7,000 tu kwa sqm
-Anza kwa kulipa 50%, pesa inayobaki unalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 12, au
-Anza kwa kulipa 30%, pesa inayobaki unalipa kidogo kidogo ndani ya miezi 8, au
- Eneo ni zuri , miundo mbinu zipo.
Safari za kutembelea viwanja ni kila siku, wahi sasa

Viwanja Kiluvya Makurunge, Lipa Kadiri Uwezavyo kwa kuanza Na Nusu- Ukubwa kuanzia 700 sqm- Bei ni 10,000 tu kwa 1 sqm- ...
18/11/2020

Viwanja Kiluvya Makurunge, Lipa Kadiri Uwezavyo kwa kuanza Na Nusu
- Ukubwa kuanzia 700 sqm
- Bei ni 10,000 tu kwa 1 sqm
- Anza kwa kulipa 50% ya thamani ya kiwanja, pesa inayobaki jipangie mwenyewe muda wa kumaliza malipo.
-Offa hii ni ya muda mfupi, wahi sasa na lipi kadiri ya uwezo wako.
-Kuona Viwanja Ni Kila siku, wahi sasa

Makazi Investment Limited, Tunakurahisishia Maisha.

Mkopo Wa Viwanja Kiluvya, Lipa ndani ya Miezi 36-Viwanja viko kiluvya Makurunge, 8km kutoka barabara ya lami.- ukubwa ku...
29/06/2020

Mkopo Wa Viwanja Kiluvya, Lipa ndani ya Miezi 36
-Viwanja viko kiluvya Makurunge, 8km kutoka barabara ya lami.
- ukubwa kuanzia sqm 600, yaani 20m kwa 30,
- Lipo kidogo kidogo ndani ya Miaka Mitatu, yaani 200,000 tu kila mwezi mpaka unamaliza deni,
- unaruhusiwa kuendeleza kiwanaj chako baada ya miezi 18, huku ukiendelea kulipa deni,
-wahi sasa , kwenda kuona viwanja ni kila siku

NJIA RAHISI YA KUNUNUA KIWANJA!!Sasa unaweza kulipa kidogo kidogo kuanzia miezi sita hadi MIAKA SITA!MAHALI: KILUVYA na ...
07/11/2019

NJIA RAHISI YA KUNUNUA KIWANJA!!

Sasa unaweza kulipa kidogo kidogo kuanzia miezi sita hadi MIAKA SITA!

MAHALI: KILUVYA na KIGAMBONI

Ukilipa cash ni Tsh 8,000 kwa sqm

Ukilipa kwa miezi 6 ni Tsh 8,500 kwa sqm

Ukilipa kwa mwaka mmoja ni Tsh 9,000 kwa sqm

Ukilipa kwa miaka miwili ni Tsh 10,000 kwa sqm

Ukilipa kwa miaka mitatu ni Tsh 11,000 kwa sqm

Ukilipa kwa miaka minne ni Tsh 12,000 kwa sqm

Ukilipa kwa miaka mitano ni Tsh 13,000 kwa sqm

Ukilipa kwa miaka sita ni Tsh 14,000 kwa sqm

Tembelea :

LIPIA KIDOGOKIDOGOKuanzia Tsh.453,600MAHALI:Kiluvya MpyaUKUBWA: Sqm 1,080VIPIMO: Mita 36 kwa 30STATUS: Kimepimwa na HATI...
07/11/2019

LIPIA KIDOGOKIDOGO
Kuanzia Tsh.453,600

MAHALI:Kiluvya Mpya
UKUBWA: Sqm 1,080
VIPIMO: Mita 36 kwa 30
STATUS: Kimepimwa na HATIMILIKI UTAPATA
BEI: Tsh 8,000 kwa sqm (Ukilipa Cash)

MKOPO: Kuanzia Mwaka Mmoja hadi Miaka SITA
KIANZIO: Kuanzia 453,600 na kuendelea

Maelezo zaidi:

20/09/2019

VIWANJA MPYA WA VIWANJA KILUVYA!!!

Lipa kidogo kidogo kadiri uwezavyo, kuna mfumo wa malipo mpaka miaka 6.

Ukilipa Baada ya Mwaka wa kwanza unaruhusiwa kujenga...

Wahi sasa...........................!!!

19/09/2019

MRADI MPYA WA VIWANJA KIGAMBONI

Viwanja vipo Kigamboni Mwasonga,njia panda ya Tundwi-Songani, umbali wa kilometa 15 toka Kibada

Unaweza kulipia kiwanja kidogokidogo hadi miaka sita(6)

Utatakiwa tu kuanza na malipo ya awali ya asilimia thelathini (30%)

Asilimia thelathini (30%) utailipa ndani ya miezi sita ya mwanzo na si kwa mkupuo mmoja.

Bei ya kiwanja kwa sqm ni kati ya Tsh.10,000 - 16,000 kutegemeana na muda wa malipo mteja atakaochagua.

Address

P. O. Box 110253
Dar Es Salaam

Telephone

+255712335583

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Clement Lugendo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category