MazuuFaida

MazuuFaida Mazuu Faida is a sales tracking and inventory management app for shops, kiosks, groceries, and small businesses in Tanzania and Africa.

Habari wakuu 👋Tunatafuta wamiliki wa maduka, mini supermarket, groceries na wholesalers wa kujaribu app mpya tuliyotenge...
12/02/2026

Habari wakuu 👋

Tunatafuta wamiliki wa maduka, mini supermarket, groceries na wholesalers wa kujaribu app mpya tuliyotengeneza inaitwa Mazuu Faida 📱

Mazuu Faida ni app rahisi inayomsaidia mwenye duka:

🧾 Kurekodi mauzo moja kwa moja kwenye simu
💰 Kujua faida ya kila siku / wiki / mwezi
📦 Kufuatilia stoo – kinachobaki na kinachokwisha
📲 Kupokea ripoti za mauzo na faida kwenye WhatsApp bila kuwa dukani

Kwa sasa tupo kwenye hatua za majaribio (early access) na tunawapa waliojiunga:

✅ Miezi 3 bure ya kutumia Mazuu Faida
✅ Support ya karibu kutoka timu yetu
✅ Nafasi ya kutoa maoni na kuboresha app hii kwa wafanyabiashara wa Afrika Mashariki

👉 K**a una duka AU unamfahamu mtu mwenye duka / anayepanga kufungua duka, mualike ajiandikishe hapa:
🔗 https://www.mazuufaida.com/early-access

Tafadhali tag mwenye duka, share kwenye magroup, au copy–paste post hii kwenye group lingine ili ujumbe uwafikie wengi zaidi 🙏
Tusaidiane kuinua biashara zetu kwa kutumia teknolojia ya hapa nyumbani 🇹🇿

Join Mazuu Faida early access and use the app free for 3 months. Track your sales, know your profit, and help us improve this shop management tool for African shop owners.

Address

Mbezi Beach Jogoo, Jupiter Street, House No 28
Dar Es Salaam
00255

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 10:00 - 12:00

Telephone

+255764468420

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MazuuFaida posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share