Gagner Realty Limited

Gagner Realty Limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gagner Realty Limited, Real Estate, Mbezi Beach Shaurimadai Street near Stanford House, Dar es Salaam.

Dealing with Real Estate & Land Advisory & Agency, Property Management, Project Management, Valuations, Surveys, GIS & Land Issues
call/WhatsApp/text
(+255) 765121158, 769497448, 769387025

Usikubali mwaka uishe bila kumiliki, nyumba yako au kiwanja chako.. tupo kuhakikisha unafanikisha Malengo yako ya uwekez...
03/08/2026

Usikubali mwaka uishe bila kumiliki, nyumba yako au kiwanja chako.. tupo kuhakikisha unafanikisha Malengo yako ya uwekezaji katika Ardhi.


06/07/2026

Je Unatafuta eneo/ frame ya kufanyia biashara yako?🤔

MEGA SPACE LTD tupo kukupa suluhu ya Tatizo lako tuna jengo letu la kupangisha tunatarajia kulifungua hivi karibuni, jengo liko Mwenge mkabala na stand mpya ya mabasi Mwenge bei zetu ni rafiki wahi nafasi ziko chache

tupigie 📞0765121158 /0673200848
Karibu tukuhudumie 🙏

30/06/2026

Je unatafuta eneo Bora la biashara...? MEGA PLAZA, ndio eneo Bora kwaajili ya biashara yako au shughuli zingine za kiofisi,.

Eneo lipo karibu na barabara kuu na lina mtiririko wa watu.

Jengo linafaa kwa ofisi, duka au huduma mbalimbali, eneo lipo opposite na magorofa ya jeshi njia inayounganisha TRA na mapambano.

Ni jengo la kisasa, nafasi zimebaki chache, wahi kabla hazijaisha.

Mawasiliano: 0765121158.


Watu wengine wanajua  mwanamke hawezi kuwa Land surveyor, Gagner company tupo kukuaminisha, hata wanawake wanaweza kufan...
12/06/2026

Watu wengine wanajua mwanamke hawezi kuwa Land surveyor, Gagner company tupo kukuaminisha, hata wanawake wanaweza kufanya kazi hizi..!!

Karibu tukuhudumie.


01/06/2026

TANZIA

Kwa masikitiko makubwa, tunapenda kuwa tanganzia kifo Cha ndugu yetu na mwanafamilia mwenzetu wa GAGNER COMPANY LIMITED, kilichotokea siku ya jumamosi , katika Hospitali ya Mloganzila alipokuwa anapatiwa matibabu.

Hakika tutamkumbuka kwa Uwajibikaji wake makini, na upendo wake.

Apumzike kwa Amani.


28/05/2026

Moja ya vitu tunavyozingatia tunapokuwa kazini ni Umoja..!!

Kwa ushauri zaidi wa maswala ya Ardhi, karibu tukuhudumie.


21/05/2026

NYUMBA INAUZWA KWA MNADA
🕹️Nyumba iko charambe( ni mita 800 tu kutoka chamazi kwa Mbiku)
🕹️ Nyumba Iko Karibu na barabara Ina Majengo sita ndani ni pazuri kwa kuwekeza kwenye nyumba za kupanga au lordge au ata shule ya nursery ni pakubwa sana
🕹️Eneo Lina hati na linaukubwa wa square meter 2325 Sawa na nusu eka
🕹️Maji umeme vipo
🕹️Bei inaanzia Million 80 mazunguzo yapo
Karibuni sana.

Wasiliana nasi:+255 765 121 158/+255 673 200 848

Unatafuta kiwanja lakini unaogopa migogoro au madalali wasio waaminifu? Sisi tupo hapa kuhakikisha unamiliki ardhi kwa a...
13/05/2026

Unatafuta kiwanja lakini unaogopa migogoro au madalali wasio waaminifu? Sisi tupo hapa kuhakikisha unamiliki ardhi kwa amani na usalama kamili..!!

Wahi kumiliki kiwanja chako, KISARAWE PROJECT.


"It’s Tuesday! Welcome for professional advice on the proper use of land. We are here to help you safely purchase secure...
12/05/2026

"It’s Tuesday! Welcome for professional advice on the proper use of land. We are here to help you safely purchase secure houses and land."
.........................

Ni jumanne nyingine tena, karibu tukushauri kitaalamu matumizi sahihi ya Ardhi, karibu tukusaidie kununua Nyumba salama na Ardhi salama.


06/05/2026

Eneo lipo Kijitonyama, ni nyumba nzuri sana na Ina eneo kubwa, Wahi mapema kabla hujawahiwa.


Address

Mbezi Beach Shaurimadai Street Near Stanford House
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 15:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gagner Realty Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gagner Realty Limited:

Share

Category